Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,991
- 831,560
- Thread starter
- #41
Vyama havipiti...vipo kwa mujibu wa katiba...DEMOKRASIA NA UHURU WA KUONGEA....then mengine yafuate katiba.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Ushauri wangu mkubwa Kwa serikali lazima tuwe na vipaumbele kama taifa ambavyo vinagusa maslahi ya wananchi wa kawaida..lakini pia kama serikali iepuke migogoro na wananchi ambayo inaleta chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali yao...
Mi nashauri kwa wale wazawa waanzilishi wa viwanda vidogo vidogo serikali itoe tax holiday ili wakisha kaa sawa ndio ianze kiuwachaji kodi. Unaanzisha kiwanda hata hujajua mbeleni itakuaje unakumbana na serikali wanadai magharama kibao mwishowe unaishia kufunga tu kiwanda
iweke maafisa habari kila wilaya, maana nim eona kuna mapungufu makubwa sana katika wilaya, yani huwezi jua nani kafanya nini na kwa lini mpka lini ila hii kazi ilitakiwa iwe inaandikwa na afsa habari na kutoa taharifa ya utendaji kwa wannchi sio siri serikali ina watumishi wengi Mizigo
Sent using Jamii Forums mobile app