Ni wazo nzuri mno,na ninategemea viongozi wetu wanatakuwa wanayasoma haya na kujaribu kuyafanyia kazi,inatia kiwewe wakati unapowaona wanasiasa wetu wanapokuwa waongeaji wazuri mara wanapoacha madaraka.kauli za our Big Ben na JK wakati wa kongamano la Mbeki huko SA huwezi amini kuwa hawa ndio walikuwa watawala na hawakufanya hayo wanayoyaongea kwa hisia kubwa;mimi ningependekeza yafuatayo;serikali yetu ni kubwa mno inabidi ipunguzwe tuwe na mikoa 12 tu huku madaraka makubwa yakiwa mikoani ili kurahisisha service deliveries,wizara nazo zipunguzwe we just need less than 15 ili kusukuma maendeleo;serikali ijikite zaidi katika kuboresha mazingira bora ya to create opportunities sio kuwa mwajiri wa wananchi,ni vema wananchi wakaandaliawa mazingira ya kujiajiri;punguza jeshi letu la ulinzi na boresha zaidi jeshi letu la polisi ili liwe la kisasa na kitechnolojia,wanajeshi watakaopunguzwa waingizwe polisi hasa kwenye vitengo maalum kama counter terrorism,hijacking etc etc,vile vile tujenge na kuwa na maabara bora .(foresinc dept.)