Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Ushauri ni kuivunja CCM.
Tunaenda naye hivyo hivyo kwa hekima lakiniMkuu hao ndo wale ambao kichwa hutumia kuvalia kofia tuu.
Hakuna soko kama hilo duniani kwa sababu kila mfanyabiashara anapata gharama tofauti na mwingine katika kuendesha biashara yake so this can't be done.Ni kweli, maadam ni serikali sikivu na ya wanyonge, watu wote kwa mimi, ushauri wangu ningependa vitu vyote vinavyouzwa viwekewe bei elekezi kama ni kiberiti kiandikwe code zake na bei yake kama vocha,
Ili hata hao wanaopandisha vitu tupate kuwajoji..... Imekuwaje
Na kwa njia hii itakuwa rahisi kujua kitu harisi na bandia.
Mf. Mzuri bidhaa za nje huwekwa code na bei yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu
Ushauri wangu mkubwa Kwa serikali lazima tuwe na vipaumbele kama taifa ambavyo vinagusa maslahi ya wananchi wa kawaida..lakini pia kama serikali iepuke migogoro na wananchi ambayo inaleta chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali yao...
Mmh valdez niliomba tushauri kwa welediWaache use### wao wa uhakiki kila mara
Aisee sahihi kabisa ile kero ya kiingilio cha ubungo terminal ni kubwa.... Na sijui yale mapato yanaenda wapi kwakuwa sioni maboresho yoyote..Mi nauliza tu kwanini tunalipa kuingia Ubungo Bus Terminal kuna huduma gani ya ziada kwa raia wa kawaida tunayoipata? Kama ni huduma ya choo tunalipia pia hata Mabasi yanalipia parking japo miundombinu ni mibovu. Kama ni utararatibu wa kisheria kwanini usiwekwe stendi zote nchi nzima?? Why Ubungo?? Hii inasumbua pia ni kero viongozi waliangalie hili ni usumbufu kwetu wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini wametusikia mkuu not fair at all.Aisee sahihi kabisa ile kero ya kiingilio cha ubungo terminal ni kubwa.... Na sijui yale mapato yanaenda wapi kwakuwa sioni maboresho yoyote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni vema roadmap plan 2015- 2020 iwekwe wazi, na kupeana mrejesho kila tunapokamilisha jambo fulaniMie nashauri serikali ipunguze kujenga ma barabara kila mkopo ni barabara tu, pesa nyingine zipelekwe kwenye wizara ya elimu,maji na afya. Wanavyuo sasa hivi hawapati mikopo kabisa hata wanaopewa ni kwa mbinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Noted mkuu
Nchi hii sasa hv kila kiongozi anakuja na mambo yake..ni vyema kama Taifa tungekuwa na dira ya kutuongoza ili tujue tunaelekea wapi. Kukosekana kwa dira matokeo yake ndio kutunga sheria za hovyohovyo mwisho wa siku tunaua uchumi wa taifa tunaishia kutafuta mchawi ni nani.Na ni vema roadmap plan 2015- 2020 iwekwe wazi, na kupeana mrejesho kila tunapokamilisha jambo fulani
Sent using Jamii Forums mobile app