Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,089
- 831,725
- Thread starter
- #121
Kumwaga Damu ya mtu asiye na Hatia Malipo ni hapahapa Duniani ''It is a matter of time''Serikali litazamane hili kwa jicho la tafakuri, hakuna haja wala sababu ya kuwazuia wale wote wanaotaka kumfanyia Lissu maombi, wala wale wanaotaka kwenda kuchangia damu kwenye hospital zetu, mbona vitu vingine ni vya kawaida kabisa?
Wajisafishe kwa kuwa kamata hao wasio julikana Wamesababisha kuchukiwa zaidiBado naamini kuna wachache wenye kupitia DOA serikali
Kiuchumi tunasema bei haipangwi na sirikali bali hupangwa na soko, kupanda kwa bei inatokana na soko.Serikali haifanyi biashara itawezaje kupanga bei, yaani mimi niuze magari alafu bei utie wewe nunua yako.Ni kweli, maadam ni serikali sikivu na ya wanyonge, watu wote kwa mimi, ushauri wangu ningependa vitu vyote vinavyouzwa viwekewe bei elekezi kama ni kiberiti kiandikwe code zake na bei yake kama vocha,
Ili hata hao wanaopandisha vitu tupate kuwajoji..... Imekuwaje
Na kwa njia hii itakuwa rahisi kujua kitu harisi na bandia.
Mf. Mzuri bidhaa za nje huwekwa code na bei yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Je serikali ina shaurika?Huu uzi ni mzuri sana hasa kwa wenye mawazo sawiya na mleta uzi iwapo jazba,mizaha,vyama n.k vikiwekwa pembeni lakini kwa huko tuendako naona kama makusudio ya uzi huu unaaanza kupotea taratibu waTanzania tunapenda sana kulalamika kwanini tusitumie fursa kama hizi kuwasilisha mawazo yetu na ushauri kwa serikali kwa nia ya kujenga zaidi na matunda yake sote tutayaona hapa