kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,562
- 2,628
hiyo status inapatikana wapi mzee babaWakuu kwenye latest version ya GB Naweza kuondoa hii status view? Yaani nisiwe naona status za watu?
hiyo status inapatikana wapi mzee babaWakuu kwenye latest version ya GB Naweza kuondoa hii status view? Yaani nisiwe naona status za watu?
mkuu nikitaka kuadd mwenyewe nafanyaje au kuweka themes ya manchester ciytNenda kwenye gb moods utakutata themes utaset...au unaweza add izo color we mwenyew tu
sijaelewa mkuu gb moods niraipata kwenye gb setting au? maana me naona gb mod sio gb moodsNenda kwenye gb moods utakutata themes utaset...au unaweza add izo color we mwenyew tu
Ndio hapo haposijaelewa mkuu gb moods niraipata kwenye gb setting au? maana me naona gb mod sio gb moods
Ya soda ipo mkuu unipe picha nikutengezeemkuu nikitaka kuadd mwenyewe nafanyaje au kuweka themes ya manchester ciyt
wala usijari ipo mkuu nataka picha ya manchester ciytYa soda ipo mkuu unipe picha nikutengezee
naomba unielekeze jinsi ya kubadilisha them na kuona view chat za watu kwenye gbwhatsupmwenye swali aulize
mkuu nikitaka kutafuta picha ya rar nyingine ninayopenda niingie wapi rar tayari nimrpakuaAtakaefanikiwa naomba screenshot, atakaeshindwa nipo hapa kutoa muongozo
Nipe picha boswala usijari ipo mkuu nataka picha ya manchester ciyt
basi mkuu nimeshaweza nimefuata maelezo ya kibosho,ila tatizo kwenye rar nimeipakua hamna hata picha nifanyaje kupata picha kwenye rarNipe picha bos
Mm ni developer
Natafuta apk ya gb wasap, msaada mwenye nayo