Uzi maalum kwa wapenda "ADVENTURE"

Uzi maalum kwa wapenda "ADVENTURE"

Mijitu mipumbavu hupinga hata wasivyovijua. OK niambie wewe ukweli ni upi?
unadhania papa wanaonekana tu sehemu yoyote baharini kama kuku..na kama eneo hilo walikuwepo ni lazima kuna caution msingeweza kujiachia kufanya huo upuuzi wenu kwenye maji labda kama alikuwa ni papaa msofe.
 
Hata mie nimeshangaa alivyomtaja papa

Hii mashine inapatikana deepsea huko na sio bongoyo
 
Napenda sana Walking kwenye new attractive places, be it a beach, forest, parks, mountains, valley na hata plain/Savana area.
 
Karibuni sana Rombo TARAKEA
IMG_20221207_071016_167.jpg
 
unadhania papa wanaonekana tu sehemu yoyote baharini kama kuku..na kama eneo hilo walikuwepo ni lazima kuna caution msingeweza kujiachia kufanya huo upuuzi wenu kwenye maji labda kama alikuwa ni papaa msofe.
Bro, sorry kwa kudakia mada yenu, je umeenda Bongoyo? Bongoyo kuna sehemu ya mazalia ya papa, panaitwa shark 🦈 lagoon. Je wale papa wanazaliwa na mawe?

Pia kuna aina nyingi sana za papa, na papa hatari zaidi ni tiger shark.
 
Nilikuwa camping serengeti.
Wageni 3 mi driver na mpishi.
Ilikuwa 4 days camping.
Katika ile campsite ajabu tukajikuta wenyewe tu.
Tukaweka tents zetu tukalala!
Asubuhi after bfast tukatoka kufanya game.
Muda wa mchana ukafika safari ikaanza kurudi kempu.kwaajili ya hotlunch.

Kufika pale simuoni mpishi ni mboga tuu inaungua.nikaanza kumuita ikawa kimya.

Nikaanza kuzunguka na gari hapo kempu huku nikimuita.chini ya mti nikakuta simba kama 5 hivi.jamaa alipotuona ndio akaanza kuniita huku analia.nilipojua yuko juu ya mti ule simba wako chini basi nikawatawanya wale simba kwa gari wakakimbia.tulicheka sana siku hiyo.

Ingine tulilala katika tented camp moja.
Tent zao pale ni kubwa sana.kulikuwa na vitanda vinne.
Basi usiku tumelala akaingia pundamilia.
Yaani alichana ile tent akazama hadi ndani.afu ilikuwa giza kinoma.
Wote hatukujua ni mnyama gani zaidi ya roho kuhisi kama zinatoka leo.ikawa kimya pale ndani.nikawasha tochi kumulika naona pundamilia.nikazima tochi.mshkaji pembeni akamulia kwenye kidirisha ziko simba kama 7 hivi.simba ni mnyama makini sana huwa haingii sehem kiboya.wakawa wanamsubiri jamaa atoke!
Tent sisi tupo iko mbali sana na tent zingine.ile siku sitakuja kusahau.
Tutamtoaje punda maana yuko stressed na nje anajua anasubiriwa.yaani ikawa kitanda kikilia tuu kidogo punda anarusha mateke ya kufa mtu.ukikohoa punda anapiga mateke ya hatari.
Ikabidi tutulie kama masaa 3 kimyaaaa.
Ndio punda akatoka akawa anaangalia kama kuna noma.hapo tukabeba kitanda kizima tukazibia pale kwenye tobo.punda hakupiga hata hatua 10 jamaa wakamtaiti.akawa kitoweo.asubuhi wageni wameamka wanakuta hiyo tukio wakafurahi sana.
Simba hatari sana masaa ma3 anasubiri mboga yake
 
Bro, sorry kwa kudakia mada yenu, je umeenda Bongoyo? Bongoyo kuna sehemu ya mazalia ya papa, panaitwa shark 🦈 lagoon. Je wale papa wanazaliwa na mawe?

Pia kuna aina nyingi sana za papa, na papa hatari zaidi ni tiger shark.
rudia kusoma story yake taratibu huku ukiiweka katika picha utaelewa kuna tofauti kati ya tangawizi na pilipili ingawa vyote vinawasha...hivi unaijua speed ya papa akiwa katika windo..kwa logic yake ni yule papa alitaka kuwa-attack wao wakawahi kumuona na kujikuta wameshaingia kwenye boat wakati huo walikuwa katika hali ya kulana mbususu concentration ilikuwa kwenye hiyo kitu ya ujinga walikuwa wanaendelea nayo.!inakuingia akilini...bibie alikuwa kaenye maji miguu ipo kwenye boat(lete picha ya hii) na jamaa yupo kwenye maji niambie hapo mbususu inaliwaje ????
 
Sio kila papa ni mla watu. Papa wala watu ni wachache sana ukilinganisha na aina ya papa wasiokula watu.
Huyu mama anasema yeye alipakatwa, mumewe alikuwa amekaa kwenye ukingo wa boti huku miguu ikiwa majini. Kwao lilikuwa ni swala tu la kudondokea botini.

1671097298662.png
 
View attachment 2447478
...lengo kuu mpakataji aje asaidie...ameshatokea, yamekwisha.
 
Back
Top Bottom