Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,131
Huu ni uzi maalum kwa wapenzi wote wa shughuli za safari mbalimbali za kufurahisha moyo.
Iwe safari za kupanda milima na kukwea vilele virefu vya milima. Iwe kwa kutumia kamba au kwa kupanda kwa miguu.
Ama ziwe ni safari za jangwani, kupasua mchanga na jua kali jangwani. Shuruba zote ngumu juani, kukutana na wadudu hatari wa jangwani, kiu kali, na utamu wa maji ya kwenye chemchemi za jangwani.
Au ni safari ya mbugani, manusura ya kugongwa na nyoka, ndege wazuri wa porini, miti, misitu, mapori, vichaka na nyika.
Kuharibikiwa na gari, shida na mateso na mapenzi mapya nyakati ngumu, ghafla zinageuka kuwa nyakati za kukumbukwa sana maishani.
Karibu tujumuike pamoja.