Wine nyepesi sana kwangu napiga vitu vizito mie..Unakunywa wine mama? If yes nikupeleke ubebe yako unayotaka. Umeandika pure point. Mtoa post aache kulaum na kulialia achukue responsibility ya maisha yake.
Yah! Karibu ujifunze ,uone namna wanaume walivyo wabaya
Unatia mumo kwa mumo..Sisi wanaume tulio fanyiwa unyama wa hivyo tunakomenti wapi.
5/5
Sahihi kabisa...hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako..Kuna vitu mimi nashindwa kuelewa, hivi mtu analalamikaje Kuwa kaharibiwa future daaah......
Darling you are responsible for your own destiny /future or whatever ,wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho Maisha yako yaweje.
Hata kama umezalishwa be grateful at least Mungu amekupa mtoto beba majukumu kikamilifu na furaha... What if umeolewa afu huwezi kupata mtoto? Kuna amani hapo? Bora uwe na mtoto hata kama baba haeleweki ni sawa tu ,zipo familia wana baba picha!!!
Ifike Mahala mabinti waache kulalamika Kuwa fulani amekuharibia maisha.... Wewe ndo mwenye maamuz na Maisha Yako wala hakuna mtu/mwanaume aliyeshikilia hatma yako.
Jirani unasema kwa vile hayajakukutaMawazo ya watu wavivu kuamini kwamba future zao zinaweza kuharibiwa na watu.
Ndo mwanzo wa kuharibu tena...Ila si mbaya na wew ukatufariji
Hao wote ni wadada?
Waoaji tupomost likely huolewi..........km aliekuzalisha akikuacha!
mwanaume gani anaoa aliezaa siku hizi wakt wanawake wamejaa!
Wewe ni mdada?Hao wote ni wadada?
AhahahaWewe ni mdada?
Hapo sawaHahaha,majukumu ndugu