Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

cutelove some times wadada mie huwa siwaelewi..........

unakuta kuna mtu serious kabisa anakutaka, unamsumbua na kukimbilia kwa "handsome/sharobaro"..............

hivi kwani huwa hamwezi kutofautisha kati ya mwanamme mwongo na mkweli?
Kuna umri ambao unakuwa na tabia hizo kama 17-21 lakini 23 na kuendelea huwa hatukimbilii masharobaro,huwa tunataka wanaume wa maisha lakini namna ya kumuamini mtu ni ngumu ndo unajikuta inakula kwako unabaki unalia
 
Like this
Nasoma comments huku napata coffee murua kabisa
1545293522558.jpeg
 
Wewe una weza kutofautisha kati ya Mwanamke mwongo na mkweli.
somehow naweza...........

ni hivi, huwa natumia mwezi wa kwanza katika r'ship kumsoma mtu na kumjua hasa anataka nini..........

mind you, hutakiwi utafakari kile anachokisema, bali msikilize kwa makini kisha tambua ni nini hasa alichokusudia kukujulisha kwa kutamka hivyo!........

mfano, anaweza kusema hivi...... "mwanamme asie na hela ni kazi sana kumfurahisha mwanamke katika dunia ya leo"...... hii sentensi ukiitafakari kwa makini ina ujumbe huu "siwezi kuishi na mwanamme asie nipa hela"............

kifupi, akiongea jambo, jaribu ku-de-code ile hidden msg, na wanaume mara zote hatuna uwezo wa kuficha dhamira zetu za ndani!!!
 
Utajua tu tena ukiwa makini utafaham vingi. Tatizo hamna subira.. muda hieleza yote. Muongo hajifichi.. atapretend lakin akiona hakipat anachotafuta ndipo hapo tabia halisi huonekana. Jipe muda.. mpe muda utagundua vingi
yes yes...... umeongea
 
somehow naweza...........

ni hivi, huwa natumia mwezi wa kwanza katika r'ship kumsoma mtu na kumjua hasa anataka nini..........

mind you, hutakiwi utafakari kile anachokisema, bali msikilize kwa makini kisha tambua ni nini hasa alichokusudia kukujulisha kwa kutamka hivyo!........

mfano, anaweza kusema hivi...... "mwanamme asie na hela ni kazi sana kumfurahisha mwanamke katika dunia ya leo"...... hii sentensi ukiitafakari kwa makini ina ujumbe huu "siwezi kuishi na mwanamme asie nipa hela"............

kifupi, akiongea jambo, jaribu ku-de-code ile hidden msg, na wanaume mara zote hatuna uwezo wa kuficha dhamira zetu za ndani!!!
Mmmh! Wanaume wapo technique sana katika mazungumzo sio rahis,labda huyo awe wazi mapema,..mwanaume unaweza kuwa naye mwaka mzima hujui kuwa anafamilia sehemu,wanaume ni hatari
 
Wanaume wanalugha ya kilaghai sana,anavyokuingia na kukuonyesha hisia zake utadhani kweli nimepata mwanaume,kweli nimependwa kumbe yajayo yanahuzunisha,kwa hiyo wanaume wanakipaji cha kutulaghai,na bahati mbaya huwezi kujua hapa ananilaghai au ndo nimepata
tuliza kichwa utagundua..........

ujue binadamu tuna milango 6 ya fahamu..... huu mlango wa 6 tunauita hisia za ndani.......

mwanaume hata kama ni mlaghai vipi, hawezi kuilaghai nafsi yake, na hapo ndio hisia zako zinatakiwa kuwa makini........

shida ni kwamba tamaa ya mwili/macho huwa inatutawala hata hisia tunazipuuza!........... mtu mwongo lazma kuna element ya mashaka hukwingia unapomsikiliza
 
Hiki ni kipindi gani wakati anakuaproach au kipindi mpo kwenye mahusiano
 
Tuambie mwanaume akiwa serious ana kuwaje?
ngumu kukuambia as binadamu tunatofautiana........

labda useme nikwambie mie nikiwa serious nakuaje.........

alafu unapoongea na mwanaume usiiname, mwangalie usoni mwongo utamjua............... kuna hisia za kwamba huyu mwongo utazipata tu.........
 
Kuna umri ambao unakuwa na tabia hizo kama 17-21 lakini 23 na kuendelea huwa hatukimbilii masharobaro,huwa tunataka wanaume wa maisha lakini namna ya kumuamini mtu ni ngumu ndo unajikuta inakula kwako unabaki unalia
huwa hampati hisia kwamba huyu mwongo?........

just that feeling ya kuwa na mashaka na mhusika? huwa hakuna kabisa?
 
Kwa wale wanawake ambao

1) Alikuwa binti akawa ana future ya kumpata mume wake mwenyewe lakini akakutana na mwanaume wa mtu bila kujua,akamzalisha na baadae akagundua kuwa alikuwa na familia yake,njoo tufarijiane

2) Alishawishiwa na mwanaume wa mtu kwa sababu ya hela zake ila baada ya kumzalisha akajikuta anaachwa njoo tufarijiane

3,) Alishawishiwa na mwanaume ambaye alikuwa na mke wake,akaingia kwenye ndoa na baadae ndoa ikamshinda kutokana na vikwazo vya mke wa kwanza njoo tufarijiane

4)Alikushawishi umzalie mtoto ila baada ya kumzalia akakuacha ,na mbaya zaidi na matumizi hakupi njoo tufarijiane

5) Ulikuwa umeolewa na upo kwenye ndoa yako ila mwanaume akawa mchepukaji na kukuonyeshea dharau mpaka machoni mwako ukaamua kuishi kivyako njoo tufarijiane

6) Ulikuwa na biashara yako,au ajira yako,ila akakushawishi kwa sababu ana pesa,uache kazi zako na ukaacha ila baadae mambo yakaenda mrama,ukajikuta unapoteza vyote njoo tufarijiane

7) Ulikuwa masomoni ukaingia kwenye mahusiano yaliyopelekea kupata mimba ukaachishwa masomo njoo tufarijiane

8) Ulikuwa na assets zako kabla ya kufahamiana na mwanaume, ila baada ya kufahamiana na mwanaume na kuwa kwenye mahusiano siku mapenzi yamevunjika akaamua kukuharibia assets zako zote kwa kisingizio cha kuwa yeye ndo alizinunua njoo tufarijiane

9)Ulikuwa kwenye ndoa yako vizuri tu lakini shoga yako akakudanganya ukaachana na mume wako kwa vimaneno vya kuambiwa njoo tufarijiane

10) Tulionyang'anywa wanaume wetu wa ndoa na marafiki au ndugu zetu njoo tufarijiane

11),Waliofukuzwa kazi na maboss kisa hujatoa penzi njoo tufarijiane
Hili wazo zuri linapelekea kufunguliwa taasisi au NGO ya "TUFARIJIANE" hebu lete tathmini baada ya uzi kufikia tamati !!
 
Mmmh! Wanaume wapo technique sana katika mazungumzo sio rahis,labda huyo awe wazi mapema,..mwanaume unaweza kuwa naye mwaka mzima hujui kuwa anafamilia sehemu,wanaume ni hatari
kama una uhusiano na mtu mwenye familia kwa mwezi tu na usipate hisia kwamba anaweza kuwa na familia basi hio ni shida nyingine..............

labda wapo wanaume wa kutoka ulaya, ila hawa hawa wabongo?.......

ok, shida nyingine labda huwa tunasema hakuna kushika simu ya mwenzako!........ lkn kama uko serious why ukatae mtu kushika simu yako??
 
Mmmh! Wanaume wapo technique sana katika mazungumzo sio rahis,labda huyo awe wazi mapema,..mwanaume unaweza kuwa naye mwaka mzima hujui kuwa anafamilia sehemu,wanaume ni hatari
Wanawake mmejaliwa talents lakin hamzitumii. Ww ni mmoja wapo. It easy kumsoma mtu.. unless labda huyo mtu akuzid kiakili.. labda ni smart zaid yako.

Wanawake ni emotional beings.. hamsikilizi logics ila mnasikiliza emotions hapa ndipo mnapojidanganya
 
Hili ndio kosa lenu. Umetelekezwa na mmoja unajumuisha wote. "Wanaume walivyo wabaya".. wkt kuna wema na wabaya vile vile kwa wanawake kuna wema na wabaya.

Halaf kuna katabia mnakuwa nacho.. mkipata wanaume wema mnawafanyia vituko mna waona washamba.. mnakimbilia bad boys.. wakiwaharib huko ndio mnalalamika... nashindwa kuwaelewa hapo tu.
+1

Miaka fulani nilikua na mahusiano na dada mmoja ,kila nikimueleza malengo yangu ya mbele kua tutafunga ndoa ili tuwe mume na mke kihalali , alikuwa haelewi somo kabisa.

Baadaye nilikuja kugundua kuwa ,alikuwa na mahusiano na badboy flan mtaani, ambaye kwa rekodi ya wakati huo alikuwa keshawapa mimba na kuwatelekeza wadada wakali wawili mtaa huo huo, demu wangu alikua anajua habari zote kuhusu waliopewa mimba na jamaa ,lakini naye akajichomeka na kupata mimba yake , pamoja na stahiki za kuachwa!

Nikikumbuka hilo jambo , napata tabu sana kuwaelewa wadada
 
Hiki ni kipindi gani wakati anakuaproach au kipindi mpo kwenye mahusiano
mkiwa kwenye mahusiano........

i believe huwezi kumvulia nguo mtu bila kujithibishia uaminifu au u-serious wake kwako!!!

ila kama ni mahusiano ya kumvulia chupi miezi 3 tu baada ya kuanza relation hapo huponi........

kingine, mwanaume kama ni chapa ilale hawezi kukubali mkutane kila weekend kwa zaid ya miez 3 bila kuonja, ataona utamgundua kabla ya kula mzigo so lazima adai mzigo fasta!!!............
 
Wanaume wanalugha ya kilaghai sana,anavyokuingia na kukuonyesha hisia zake utadhani kweli nimepata mwanaume,kweli nimependwa kumbe yajayo yanahuzunisha,kwa hiyo wanaume wanakipaji cha kutulaghai,na bahati mbaya huwezi kujua hapa ananilaghai au ndo nimepata
Ndio hapo narudia point yangu . Woman dont pay attention kwa vitendo... huwa mnasikiliza hisia za mtu.. na sisi wanaume tunaweza fake hisia na ww ukatumbukia.

Pay attention kwa vitendo vya mtu. Yes anadai anakupenda.. vitendo vinaonyesha hivyo?
Vitendo huwa vinatoa picha halisi.. hata kama si wkt wa kukutongoza.. hata baada ta mwezi miezi miwili.. lazima atajionyesha tu..
 
Back
Top Bottom