Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

Unakunywa wine mama? If yes nikupeleke ubebe yako unayotaka. Umeandika pure point. Mtoa post aache kulaum na kulialia achukue responsibility ya maisha yake.
Wine nyepesi sana kwangu napiga vitu vizito mie..
Binafsi nasikitiswa sana na mtu Kulia lia kwamba kaharibiwa future, kwahyo hayo mahusiano ndo alitegemea future yake inyooke?
Kuzaa ni Moja ya stage katika maisha hauwezi Kua mwenyewe siku zote
 
Kweli hii nchi haiaminiki kabisa, mmeitwa wadada/wamama wa humu wamejitokeza kiduchuuu, hata muanzisha Uzi Karara Mbereee
 
Kuna vitu mimi nashindwa kuelewa, hivi mtu analalamikaje Kuwa kaharibiwa future daaah......
Darling you are responsible for your own destiny /future or whatever ,wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho Maisha yako yaweje.

Hata kama umezalishwa be grateful at least Mungu amekupa mtoto beba majukumu kikamilifu na furaha... What if umeolewa afu huwezi kupata mtoto? Kuna amani hapo? Bora uwe na mtoto hata kama baba haeleweki ni sawa tu ,zipo familia wana baba picha!!!
Ifike Mahala mabinti waache kulalamika Kuwa fulani amekuharibia maisha.... Wewe ndo mwenye maamuz na Maisha Yako wala hakuna mtu/mwanaume aliyeshikilia hatma yako.
Sahihi kabisa...hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako..
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom