Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

+1

Miaka fulani nilikua na mahusiano na dada mmoja ,kila nikimueleza malengo yangu ya mbele kua tutafunga ndoa ili tuwe mume na mke kihalali , alikuwa haelewi somo kabisa.

Baadaye nilikuja kugundua kuwa ,alikuwa na mahusiano na badboy flan mtaani, ambaye kwa rekodi ya wakati huo alikuwa keshawapa mimba na kuwatelekeza wadada wakali wawili mtaa huo huo, demu wangu alikua anajua habari zote kuhusu waliopewa mimba na jamaa ,lakini naye akajichomeka na kupata mimba yake , pamoja na stahiki za kuachwa!

Nikikumbuka hilo jambo , napata tabu sana kuwaelewa wadada
hii ndio shida nyingine ya wadada
 
Ahahahaa Matatizo yote mbona ni kama ya kujitakia? si slope mlikuwa mkitaka?..
 
Kuna umri ambao unakuwa na tabia hizo kama 17-21 lakini 23 na kuendelea huwa hatukimbilii masharobaro,huwa tunataka wanaume wa maisha lakini namna ya kumuamini mtu ni ngumu ndo unajikuta inakula kwako unabaki unalia
Mkuu ushauri tu uwape wadogo zako ikikupendeza na wewe kama muda bado unaruhusu,
Ni hivi ukitongozwa jaribu sana kupima mistari ya jamaa! Ukiona swaga unazielewa kirahisi sana na zinakushawishi kirahisi pamoja na mazingira uliyowekewa jua unatapeliwa ,

Ukiona swaga huzielewielewi mazingira huyaelewi na mtu mwenyewe kama unaona kama yupo chini ya status yako, jua pengine ndo uko kwa mtu sahihi ,

Sisi wakulima wa tikiti pia huwa tunatamani sana kumiliki wanawake wazuri, ila unampata vipi demu mkali mjini akuelewe kwa stori kuwa una shamba la matikiti na yanalipa ?, Wengi mnaishia kwa wazungu wa unga wenye magari mazuri na offer za kfc , ambao kiufundi si waoaji.
 
Mleta uzi ungesema tu single mother ,maneno meengi na sababu lukuki ila bado mnabaki kuwa single mother, peaneni faraja mpate kumaliza mwaka vizuri.
 
Mkuu ushauri tu uwape wadogo zako ikikupendeza na wewe kama muda bado unaruhusu,
Ni hivi ukitongozwa jaribu sana kupima mistari ya jamaa! Ukiona swaga unazielewa kirahisi sana na zinakushawishi kirahisi pamoja na mazingira uliyowekewa jua unatapeliwa ,

Ukiona swaga huzielewielewi mazingira huyaelewi na mtu mwenyewe kama unaona kama yupo chini ya status yako, jua pengine ndo uko kwa mtu sahihi ,

Sisi wakulima wa tikiti pia huwa tunatamani sana kumiliki wanawake wazuri, ila unampata vipi demu mkali mjini akuelewe kwa stori kuwa una shamba la matikiti na yanalipa ?, Wengi mnaishia kwa wazungu wa unga wenye magari mazuri na offer za kfc , ambao kiufundi si waoaji.
hahahaaaaaaa ukimwambia tikiti inalipa hakuelewi et eh?
 
Hata hiyo si tafsiri halisi ya kuharibiwa future.......mwenye kujua future yake au ya mwingine zaidi ya Mungu na anyooshe mkono juu.
.
.
Kuachwa single mother ndio future yako hiyo lakini pia hayo ni sehemu ya mapito kwenda mbele zaidi na si mkosi wala jambo baya la kukatisha tamaa.
Tatizo sio kuzalishwa bali ni kuzalishwa na kuachwa single mother
 
Kama unashawishiwa kwa hela komeni, usiseme wanawake sema magumekume; rafiki yako anakunyanganya mmeo, simple huna akili, ulitaka mwanaume akaye na mtu hana akili, raiki akunyanganyeje mwanaume wewe ukiwa umekalia kiburi na kislaani au?

Kwa wale wanawake ambao

1) Alikuwa binti akawa ana future ya kumpata mume wake mwenyewe lakini akakutana na mwanaume wa mtu bila kujua,akamzalisha na baadae akagundua kuwa alikuwa na familia yake,njoo tufarijiane

2) Alishawishiwa na mwanaume wa mtu kwa sababu ya hela zake ila baada ya kumzalisha akajikuta anaachwa njoo tufarijiane

3,) Alishawishiwa na mwanaume ambaye alikuwa na mke wake,akaingia kwenye ndoa na baadae ndoa ikamshinda kutokana na vikwazo vya mke wa kwanza njoo tufarijiane

4)Alikushawishi umzalie mtoto ila baada ya kumzalia akakuacha ,na mbaya zaidi na matumizi hakupi njoo tufarijiane

5) Ulikuwa umeolewa na upo kwenye ndoa yako ila mwanaume akawa mchepukaji na kukuonyeshea dharau mpaka machoni mwako ukaamua kuishi kivyako njoo tufarijiane

6) Ulikuwa na biashara yako,au ajira yako,ila akakushawishi kwa sababu ana pesa,uache kazi zako na ukaacha ila baadae mambo yakaenda mrama,ukajikuta unapoteza vyote njoo tufarijiane

7) Ulikuwa masomoni ukaingia kwenye mahusiano yaliyopelekea kupata mimba ukaachishwa masomo njoo tufarijiane

8) Ulikuwa na assets zako kabla ya kufahamiana na mwanaume, ila baada ya kufahamiana na mwanaume na kuwa kwenye mahusiano siku mapenzi yamevunjika akaamua kukuharibia assets zako zote kwa kisingizio cha kuwa yeye ndo alizinunua njoo tufarijiane

9)Ulikuwa kwenye ndoa yako vizuri tu lakini shoga yako akakudanganya ukaachana na mume wako kwa vimaneno vya kuambiwa njoo tufarijiane

10) Tulionyang'anywa wanaume wetu wa ndoa na marafiki au ndugu zetu njoo tufarijiane

11),Waliofukuzwa kazi na maboss kisa hujatoa penzi njoo tufarijiane
 
+1

Miaka fulani nilikua na mahusiano na dada mmoja ,kila nikimueleza malengo yangu ya mbele kua tutafunga ndoa ili tuwe mume na mke kihalali , alikuwa haelewi somo kabisa.

Baadaye nilikuja kugundua kuwa ,alikuwa na mahusiano na badboy flan mtaani, ambaye kwa rekodi ya wakati huo alikuwa keshawapa mimba na kuwatelekeza wadada wakali wawili mtaa huo huo, demu wangu alikua anajua habari zote kuhusu waliopewa mimba na jamaa ,lakini naye akajichomeka na kupata mimba yake , pamoja na stahiki za kuachwa!

Nikikumbuka hilo jambo , napata tabu sana kuwaelewa wadada
Mkuu si wewe tu. Niliwah kuanzisha mahusiano na dada mmoja.. na nilikuwa nimeshajitambulisha kwao. Mahari nilishaandaa kabisaa..
Ila kwa upole, utaratib wangu niliokuwa nao aliniona kama old school sana.. akaruka na jomba mmoja.. jamaa akampachika ujauzito.

Kiherehere chote kiliisha, alinitafuta mwenyewe kuomba msamaha eti nimuoe.

Women are so complex kwakweli. Wanasema wanataka mwanaume mwema, akitokea wanamfanyia madudu, wakipata bad boy akiwavuruga wanarudi tena kulalamika. Sasa huwa wanataka nini?
 
Siku moja nitaandaa thread ya story ya kweli kunihusu juu ya hawa viumbe wa kike.....ni wachache sana wanaojitambua!
 
Kuna vitu mimi nashindwa kuelewa, hivi mtu analalamikaje Kuwa kaharibiwa future daaah......
Darling you are responsible for your own destiny /future or whatever ,wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho Maisha yako yaweje.

Hata kama umezalishwa be grateful at least Mungu amekupa mtoto beba majukumu kikamilifu na furaha... What if umeolewa afu huwezi kupata mtoto? Kuna amani hapo? Bora uwe na mtoto hata kama baba haeleweki ni sawa tu ,zipo familia wana baba picha!!!
Ifike Mahala mabinti waache kulalamika Kuwa fulani amekuharibia maisha.... Wewe ndo mwenye maamuz na Maisha Yako wala hakuna mtu/mwanaume aliyeshikilia hatma yako.
 
Unakunywa wine mama? If yes nikupeleke ubebe yako unayotaka. Umeandika pure point. Mtoa post aache kulaum na kulialia achukue responsibility ya maisha yake.
 
Back
Top Bottom