Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Kwa wale wanawake ambao

1) Alikuwa binti akawa ana future ya kumpata mume wake mwenyewe lakini akakutana na mwanaume wa mtu bila kujua,akamzalisha na baadae akagundua kuwa alikuwa na familia yake,njoo tufarijiane

2) Alishawishiwa na mwanaume wa mtu kwa sababu ya hela zake ila baada ya kumzalisha akajikuta anaachwa njoo tufarijiane

3,) Alishawishiwa na mwanaume ambaye alikuwa na mke wake,akaingia kwenye ndoa na baadae ndoa ikamshinda kutokana na vikwazo vya mke wa kwanza njoo tufarijiane

4)Alikushawishi umzalie mtoto ila baada ya kumzalia akakuacha ,na mbaya zaidi na matumizi hakupi njoo tufarijiane

5) Ulikuwa umeolewa na upo kwenye ndoa yako ila mwanaume akawa mchepukaji na kukuonyeshea dharau mpaka machoni mwako ukaamua kuishi kivyako njoo tufarijiane

6) Ulikuwa na biashara yako,au ajira yako,ila akakushawishi kwa sababu ana pesa,uache kazi zako na ukaacha ila baadae mambo yakaenda mrama,ukajikuta unapoteza vyote njoo tufarijiane

7) Ulikuwa masomoni ukaingia kwenye mahusiano yaliyopelekea kupata mimba ukaachishwa masomo njoo tufarijiane

8) Ulikuwa na assets zako kabla ya kufahamiana na mwanaume, ila baada ya kufahamiana na mwanaume na kuwa kwenye mahusiano siku mapenzi yamevunjika akaamua kukuharibia assets zako zote kwa kisingizio cha kuwa yeye ndo alizinunua njoo tufarijiane

9)Ulikuwa kwenye ndoa yako vizuri tu lakini shoga yako akakudanganya ukaachana na mume wako kwa vimaneno vya kuambiwa njoo tufarijiane

10) Tulionyang'anywa wanaume wetu wa ndoa na marafiki au ndugu zetu njoo tufarijiane

11),Waliofukuzwa kazi na maboss kisa hujatoa penzi njoo tufarijiane
 
Pole sana ngoja wenzako waliochezewa waje.
 
nawe njoo kwangu nkufariji
 
Back
Top Bottom