Uzi maalum kwa 'vitu used'

REDMI BUDS 3 LITE 2022

CHARGE INAKAA MASAA 18 UKIWA
UNASIKILIZA MZIKI, IKIWA STANDBY HATA WIKI NDO ITAISHA CHAJI

NI SPLASH RESISTANT SO MAJI YA MVUA KALI AU AJALI MINOR ZA MAJI HAZIDHURU

ZINA CHARGE KWA TYPE C FAST CHARGING

BEI 99,000 TSH TU ZINAFAA KWA IOS AU ANDROID

0693225605 KARIBU OFISINI SINZA LEGO
1269059812.jpg
 
JAM BLUETOOTH SPEAKER FROM UK

CHARGE MASAA 6

SPLASH RESISTANT

ZINA RELI YA USB YAKE KAMA UONAVYO HAPO PEMBENI NA INAKUJA NA SPEAKER SO HUWEZI POTEZA USB WALA KUTESEKA KUTAFUTA USB

BEI 90,000 TSH TU

OFISI IKO SINZA LEGO
NIPIGIE 0693225605
IMG-20220427-WA0000.jpg
1250307854.jpg
1302251829.jpg
 
LG smart 4k Tv inch 43 (43") Tsh.650,000
 

Attachments

  • IMG_20220504_125834_574.jpg
    IMG_20220504_125834_574.jpg
    356.2 KB · Views: 50
  • IMG_20220504_130234_511.jpg
    IMG_20220504_130234_511.jpg
    312.9 KB · Views: 59
  • IMG_20220504_120317_051.jpg
    IMG_20220504_120317_051.jpg
    380.4 KB · Views: 57
  • IMG_20220504_131659_938.jpg
    IMG_20220504_131659_938.jpg
    453.2 KB · Views: 61
  • IMG_20220504_120353_863.jpg
    IMG_20220504_120353_863.jpg
    511.1 KB · Views: 51
Double decker ipo sokon 250,000/= kipo kimara mwisho namba zangu 0719478826 mazungumzo yapo kidogo
 

Attachments

  • 20220527_140236.jpg
    20220527_140236.jpg
    267.2 KB · Views: 54
  • 20220527_140222.jpg
    20220527_140222.jpg
    413.5 KB · Views: 60
  • 20220527_140250.jpg
    20220527_140250.jpg
    263.7 KB · Views: 52
USED PIXEL 3 IN CLEAN CONDITION...
64 GB STORAGE..
4 GB RAM..
EXCELLENT CAMERA..
ANDROID 12...
INA KIDOT KWA JUU UPANDE WA KULIA (cheki picha ya 3 )
Bei - 240,000 tsh
Simu pekee....
Interested nichek DM
1574991346.jpg
229518200.jpg
175194853.jpg
 
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji.

Kama hali ilivyo kuwa ngumu, kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum.

Huu ndio utakuwa uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta.

Kitanda, godoro, meza, stuli, fridge, TV, radio, deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme , vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n.k

Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa.

Kama una usafiri wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa, huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni,


Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Fridge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000

Vyote vinapatikana tabata bimaView attachment 865975View attachment 865976View attachment 865977View attachment 865978View attachment 865979View attachment 865980View attachment 865982View attachment 865983View attachment 865984View attachment 865986View attachment 865987View attachment 865990View attachment 865991
Hapungui frij
 
Pikipiki inatafuta mteja
Make: BAJAJ
Model: BOXER
Colour: BLACK
Year of Manufacture: 2018
Chombo kipo katika hali nzuri ni cha kuwasha na kuondoka, imekua ikitumika kwa matumizi binafsi, nyaraka muhimu zote zipo.
Bei ni milioni moja na laki tano taslimu (1,500,000/=). Mazungumzo kidogo yapo, karibu ujimilikishe chombo.View attachment 2283325View attachment 2283324
IMG-20220705-WA0008.jpg

Kwa mawasiliano zaidi hit my inbox
 
Back
Top Bottom