Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
- Thread starter
- #1,561
Kanunue kipya mkuuBlenda bei kubwa kuliko dukani.mmh bei kubwa kuliko vipya ndio ukweli
Kanunue kipya mkuuBlenda bei kubwa kuliko dukani.mmh bei kubwa kuliko vipya ndio ukweli
Sola used zinauzwa bei ya kutupa,zipo za Watt 120 na Watt 200,ni za Kampuni ya Mobisol,mhitaji 0620333409View attachment 2156123
Namba ipo hapoBei ya kutupa ni bei gani?
Namba ipo hapo
Dah! Kweli kila kitu na riziq, nilikiwa natafuna haya madubwasha, jana tu nimetoka kununua watt 200Sola used zinauzwa bei ya kutupa,zipo za Watt 120 na Watt 200,ni za Kampuni ya Mobisol,mhitaji 0620333409View attachment 2156123

Location unapatikana wapiPS3 kipengele hdmi inatumia AV
Ina game 9
Av cable 1
Pad 1
Waya wa moto 1
Tsh 200k bei fixed
Kichwa kitupu
Tsh 170k bei fixed
0692402211
View attachment 2144474View attachment 2144475
Ipo?Bei 280,000/= Lenovo View attachment 866946
Pole Ndugu Makaveli,Watt 200 ulinunua kwa Tsh ngapi na za Kampuni gani?? ukipata mwingine anayehitaji nishtue,bei ni za kutupaDah! Kweli kila kitu na riziq, nilikiwa natafuna haya madubwasha, jana tu nimetoka kununua watt 200![]()
Oceanic 220k.Pole Ndugu Makaveli,Watt 200 ulinunua kwa Tsh ngapi na za Kampuni gani?? ukipata mwingine anayehitaji nishtue,bei ni za kutupa
Imetumika kwa muda gani? Receipt zake unazo...Hisense Refrigerator almost new, 132L.
Inapooza na kugandisha
450,000/-
Tegeta
View attachment 2189093
Namba tuzifanyie Nini.....umetuwekea vocha?Namba ipo hapo
Tuwasiliane mkuu... PM yako naona inachangamotoHisense Refrigerator almost new, 132L.
Inapooza na kugandisha
450,000/-
Tegeta
View attachment 2189093
Sorry boss, Nimeshaiuza tayariTuwasiliane mkuu... PM yako naona inachangamoto
BASEUS TAGS
ZINATUMIKA KULOCATE VITU KAMA FUNGUO, BEGI, POCHI, WALLET, MTOTO ETC..
ZINACONNECT NA SIMU (ANDROID AU IPHONE) KWA APP YA BASEUS
UKIPOTEZA FUNGUO UKIITRACK KWA SIMU UNAIPATA NA UKIKARIBIA INAPIGA KELELE IYO TAG ILI UJUE ILIPO
BATTERY INAKAA MIEZI ZAIDI YA MINNE NA BI BATTERY KAMA ZA SAA TU...
BEI 45,000 TSH TU