mjasiri na mali
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 1,178
- 2,169
- Thread starter
- #401
70000
200k nije kuchukua chiefbei 300 ila 250 fixed
200k nije,kuchukua mkuuHabari wakuu, naiuza tv flat screen samsung led tv inch 24 HD, inasupport HDMI, HD ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).
Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako au ofisini
bei ni 250k karibuni sana
Napatikana ubungo river side 0783808088View attachment 903046View attachment 903047View attachment 903049
200k nije kuchukua mkuu au
karibu mkuu, njoo uchukue, nicheki 0710331150200k nije,kuchukua mkuu
Hizo unazoziona ni bei za kuanzia tuHivi kuna watu mnanunua vitu hum? Mbona vingi vya kawaida saana Halafu bei zaidi ya dukani?
200k nije kuchukua mkuu au
Aipunguwi kidogo arf ntalipataje maan ME niko DodomaFriedge aina ya whirpool
270,000View attachment 905626
Aipunguwi kidogo arf ntalipataje maan ME niko Dodoma
Hii mali bado ipoGodoro 5*6 inch 8
130000View attachment 899505
Mkuu, ni item gani kati ya hizi inauzwa hyo 60000?
Stand ya tvMkuu, ni item gani kati ya hizi inauzwa hyo 60000?
Ok, poaStand ya tv
KaribuOk, poa
Bado ipo hiyo stand? Na kama bado ipo, ipo maeneo ganiStand ya tv