Uzi maalum kwa 'vitu used'

290000
Nokia 3 uses for 3 Months
61-UclYAKhL._SL1000_.jpg
 
Habari wakuu, naiuza tv flat screen samsung led tv inch 24 HD, inasupport HDMI, HD ipo katika hali nzuri sana, (imenunuliwa miezi michache iliyopita).

Itakufaa sana kwa matumizi ya nyumbani kwako au ofisini

bei ni laki 3 pungufu ya hapo tutaongea, karibuni sana

Napatikana ubungo river side
 
nashindwa jinsi ya ya ku upload picha sehemu ya attachment siioni kwenye hii new app
 
Back
Top Bottom