Uzi maalum kwa 'vitu used'

Mkuu mm naomba username yake ya insta mwaya nikamchunguliege uko
 
Tecno W5 Finger Print Iko very clean Na Charger yake.
#BEI 170,000 TSH/=
LOCATION DAR.
Kama Unahitaji Simu Pls Nicheck PM kwa Mawasiliano.

 
Biashara kwa jf ngumu Sana wengi Ni wajuaji Wa kila kitu Ila hakuna ununuaji wanachofanya Ni kukosoa na kupinga

Usumbufu Wa kutosha kuna mtu humu alinipa kazi ya kumkusanyia vitu akanielekeza nimpelekee kibaha gharama za usafiri juu yake.. Kufika kibaha hakupokea simu mpaka leo

Mwingine akasema nimpelekee ubungo naona hajafika ubungo mpaka leo..

Wanaofanya biashara wachache, wengi wao wapenda sifa kwenye nyuzi za watu.. Biashara kwa huku nimesitisha kupost tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu na ni ukweli unachosema
Je insta unatumia jna gani ili wanunuz Wa kweli wakutafte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…