Uzi kwa ajili ya vijana na watoto wa elf2

Uzi kwa ajili ya vijana na watoto wa elf2

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
5,557
Reaction score
8,195
Karibuni wadau wote mliozaliwa miaka ya 2000's wadada na vijana wa kiume tuje tupeane michongo mbalimbali ya maisha

Shangazi zetu na wajomba muwepo kutupa ushauri tu na si vinginevyo
 
Mkuu hivi kwa sasa ni biashara gani zinafanya vizuri mtaani
Mtaani biashara za mambo ya kula mkuu .

IPO hivi hela ikiwa ngumu biashara zinazokimbiza ni zile za vyakula Ila hela ikiwa IPO mtaani basi biashara zinazokimbiza zinakuwa ni zile za want that's
 
Back
Top Bottom