Madenge Jr
New Member
- Nov 9, 2021
- 3
- 1
Ajira amna tujuzane mkuuMchongo
T-SHIRT PRINTING SQUAD
TUNAPRINT T-SHIRT ZA SHULE KWA BEI NAFUU TUNAPATIKANA MOROCCO DAR ES SALAAM WhatsApp 0784214792 au piga 0620431296
°°°°°T-SHIRT ZA ROUND NECK°°
¶T-shirt za Chekechea pamoja na kuprint 4,000/=
¶T-shirt za Primary pamoja na kuprint 5,000/=
¶T-shirt za Secondary pamoja na kuprint 6,000/=
°°°°T-SHIRT ZA KOLA AU FORM SIX°°°°
¶T-shirt za Chekechea pamoja na kuprint 6,000/=
¶T-shirt za primary pamoja na kuprint ni 7,000/=
¶T-shirt za Secondary pamoja na kuprint 8,000/=
NB: Kuprint tunaanzia pc 10
OFA hii itadumu kwa mwez mzima kuanzia 16/11/2021 Hadi 16/12/2021
KARIBUNI SANA
asante mkuu ndugu namba umenipa mwenyewe lakini kupokea imekua shida ila yote katika yote asante mkuuAsante kaka karibu pia
Ni mpharmacia anadiploma ya pharmacy anaomba mchongo wa ajira ndugu zanguHABARI WANA JF MM NI KIJSNA NIMESOMA DIPLOMA YA PHARMACY (PHARM TECH,) NIPO SHINYANGA MJINI NSOMBS MWENYE CONNECTION YA KAZI AU KUNIPA KAZI YOYTE YA KUNIPATIA KIPATO HALALI NAOMBA KUWASILISHA
namba yangu 0718927103
Connection gani hiyo mkuu
Mkuu napambana kuingia TPDC.Connection gani hiyo mkuu
I need same connections, ulipata mchongo??Habarini..
Mwenye connection ya kazi ya ukemia(uchenjuaji/mineral processing) kwa geita nipo hapa dada yenu nina uzoefu na uaminifu pia katika kazi,mwenye plant ama connection naomba anisaidie hata kazi nyingine pia naweza kufanya kama kusimamia mradi,shell,storekeeper n.k...Maisha ni magumu bila ajira ndugu zangu naomba tusaidiane..
Asanteni..
Njoo PM, nitumie namba yako nikupigie.Habarini..
Mwenye connection ya kazi ya ukemia(uchenjuaji/mineral processing) kwa geita nipo hapa dada yenu nina uzoefu na uaminifu pia katika kazi,mwenye plant ama connection naomba anisaidie hata kazi nyingine pia naweza kufanya kama kusimamia mradi,shell,storekeeper n.k...Maisha ni magumu bila ajira ndugu zangu naomba tusaidiane..
Asanteni..
Hapana badoI need same connections, ulipata mchongo??
Kama mtaji bhas usile iwekee mazingira ili ikupe matunda mazuri kiongozMichongo imesimama... tunakula mitaji
Anasubir majibu ndugu yetuHv wadau mradi wa gesi lindi unaanza lini ili nikasaidie mafundi
Msaada
Ndugu zangu naomba kujua kiwanda cha afya kiko wapi hapa dar es salaam na vipi kinatoa ajira au kibarua ?!msiniangushe nawaaminia
Asanteni