Niliwahi kusikia risasi moja mpaka kufika store ya jeshi, inagharimu 150k za kitanzania. Sina uhakika, na siwezi kuthibitisha!Hivi risasi 1 ni bei gani jamani halafu fisi mbona sio lazima kumuwinda kwa bunduki
Haya ndio mambo ninayoyapinga.kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Kama Jamii hatuwezi kukubaliana na Excuse kama hizi..., Ukishakubali hili tu utakubali lolote lile...., Mwanao kushindwa mtihani na kusema alipigwa upofu wa ghafla..., mpangaji wako kukosa rent na kusema pesa imeyeyuka ghafla..., Serikali kushindwa kutimiza ahadi na kusema kodi zote walizokusanya zimegeuka na kuwa moshi..., mlinzi wako kuacha kulinda akijua kwamba atakwambia alishangaa kapata uzingizi wa pono....kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Fisi kukwepa ni jambo moja na uwezo wa Muhusika kulenga shabaha ni jambo lingine.kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Wewe ni mbumbumbu sana na hauijui dunia. kalaga baho.Haya ndio mambo ninayoyapinga.
Jamani tuache ujinga Watanzania hakuna maajabu yoyote...risasi ni risasi haina majadiliano na imani ya Mtu...ikilengwa kwa malengo ikampata muhusika ataanguka tu.
Hata kwa Wenzetu inatokea Mtu anapigwa risasi na anaweza kukimbia eneo la tukio, na yupo anayepigwa na kuanguka hapo hapo...ila Wenzetu kwa kuwa wanatumia akili watatafuta sababu na huenda risasi haijafika sehemu hatarishi mwilini na sio miujiza.
Peleka huyo Fisi wenu kwa huyo Mwanaume niliyeweka clip hapo juu uone anavyotumia risasi moja tu Fisi chali.kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Kama ushirikina upo na huwa unafanya kazi kwa nini huwa hatuutumii kuchukua kitu kama kombe la dunia la mpira wa miguu?kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Mashuhuda na askari wamesema fisi alikuwa anakwepa risasi! Wewe uliona wapi mnyama anayekwepa risasi? Kwa mtu mwenye utaalam kidogo tu na mambo ya bunduki na risasi atakucheka sana akisikia unasema eti fisi anaweza kukwepa risasi.Isiyokuwasha hujailamba. Hujajua nini kilitokea mpaka zikatumika risasi zote hizo. Tungesikia story kutoka ka Askari na mashuhuda ndipo tungeweza kusema neno.
Kila kitu kina mipaka yakeKama ushirikina upo na huwa unafanya kazi kwa nini huwa hatuutumii kuchukua kitu kama kombe la dunia la mpira wa miguu?
Zina gharama lakini kwa kuwa tunaendekeza uzembe basi Askari anaweza kutoa kisingizio chochote akakubaliwa.Hivi risasi 1 ni bei gani jamani halafu fisi mbona sio lazima kumuwinda kwa bunduki
Unafiki ni kitu kibaya sana, ina maana hujui kama ushirikina upo?Kama ushirikina upo na huwa unafanya kazi kwa nini huwa hatuutumii kuchukua kitu kama kombe la dunia la mpira wa miguu?