georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,892
Pole bibi. Nenda KCMCnaombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
weka maelezo vizuri jamani
mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu location
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
Aisee pole, bora wewe macho kuliko kuzeeka maini
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
Sasa na wewe Mpenzi Smile, acha ubahili bana. Hapo hapo wanapopima, wanatakiwa wawe na miwani pia.
Kama umeenda tu sehemu na kupima, hasa serikalini, basi wanaweza kuwa wamelipua kazi.
Nenda huko madukani ila kabla hujanunua, nie vema ukapima tena. Karibu kwenye wavaa miwani ya kusomea.
Inadaiwa, baada ya miaka 40, uwezo wa macho unashuka. Na hata kama bado na unakaa sana kwenye computer, basi ni vema pia ukawa unatumia miwani kujilinda na mionzi ya SCREEN. Bahati mbaya mie siyo mwenyeji wa Dar hivyo siwezi kukupa anwani ya duka.
Pole kwa tatizo la macho, ila uzee? Mwanamke ni kama Mvinyo.......
Smile, huwezi kutumia contact?mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu location
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
Mkuu @skionge, nadhani hapo in bold umempaka mafuta kwa mgongo wa chupa! that should be a man.
issue sio bei mbe ...quality nataka classic yaani mizuuuriii ya kidada dada
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
kabla hujawaza kkutumia miwani hebu jaribu njia mbadala ,weka mbali hiyo screen au wakununulie ile screen protector .miwani bwana sio mizuri sana!
mhhhhh.......
mhhhhh.......
mkoa wowote mi naenda