Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,696
- 46,406
Katika taifa ambalo kupata ajira ni suala la kufa na kupona ipo haja ya kupambana na tatizo katika vyanzo vyake mbalimbali badala ya kutibu dalili kwa muda mfupi tu.
Chanzo kimojowapo cha ukosefu mkubwa wa ajira ni watu kuzaa watoto wengi wasiowezwa kuhudumiwa na kuandaliwa vizuri na wazazi pamoja na serikali yao.Matokeo yake ni wimbi kubwa la vijana wasiojua hatma ya kesho
Serikali inapaswa ije na mpango wa kuhamasisha watu kuzaa watoto wachache na kukatisha tamaa mpango wa watu kuzaa watoto wengi ili kuleta uwiano kati ya idadi ya watu na ajira zinazozalishwa na uchumi wetu.
Ni wakati sahihi wa kutengeneza sera ya kuhamasisha familia za Kitanzania zisizidi watoto wawili ili wazazi waweze kuwahudumia na kuwaandaa vizuri watoto wao kukabiliana na uchumi unaotoa fursa finyu za ajira.