Uzazi wa mpango wa watoto wachache ni nyenzo muhimu kupambana na tatizo la ukosefu wa ajira

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,721
46,432
Katika taifa ambalo kupata ajira ni suala la kufa na kupona ipo haja ya kupambana na tatizo katika vyanzo vyake mbalimbali badala ya kutibu dalili kwa muda mfupi tu.

Chanzo kimojowapo cha ukosefu mkubwa wa ajira ni watu kuzaa watoto wengi wasiowezwa kuhudumiwa na kuandaliwa vizuri na wazazi pamoja na serikali yao.Matokeo yake ni wimbi kubwa la vijana wasiojua hatma ya kesho

Serikali inapaswa ije na mpango wa kuhamasisha watu kuzaa watoto wachache na kukatisha tamaa mpango wa watu kuzaa watoto wengi ili kuleta uwiano kati ya idadi ya watu na ajira zinazozalishwa na uchumi wetu.

Ni wakati sahihi wa kutengeneza sera ya kuhamasisha familia za Kitanzania zisizidi watoto wawili ili wazazi waweze kuwahudumia na kuwaandaa vizuri watoto wao kukabiliana na uchumi unaotoa fursa finyu za ajira.
 
Wingi wa watu huchangia maongezeko ya manunuzi na uzalishaji. Serikali inapaswa kuweka mfumo bora wa afya na elimu Pia kuboresha mazingira ya kilimo, uvuvi na ufugaji.

Ni rahisi kuongoza taifa la wanaojua kusoma na kuandika Pia kuhesabu kuliko kuongoza ngumbaru.
 
Katika taifa ambalo kupata ajira ni suala la kufa na kupona ipo haja ya kupambana na tatizo katika vyanzo vyake mbalimbali badala ya kutibu dalili kwa muda mfupi tu.

Chanzo kimojowapo cha ukosefu mkubwa wa ajira ni watu kuzaa watoto wengi wasiowezwa kuhudumiwa na kuandaliwa vizuri na wazazi pamoja na serikali yao.Matokeo yake ni wimbi kubwa la vijana wasiojua hatma ya kesho

Serikali inapaswa ije na mpango wa kuhamasisha watu kuzaa watoto wachache na kukatisha tamaa mpango wa watu kuzaa watoto wengi ili kuleta uwiano kati ya idadi ya watu na ajira zinazozalishwa na uchumi wetu.

Ni wakati sahihi wa kutengeneza sera ya kuhamasisha familia za Kitanzania zisizidi watoto wawili ili wazazi waweze kuwahudumia na kuwaandaa vizuri watoto wao kukabiliana na uchumi unaotoa fursa finyu za ajira.
Naona unajaribu kutatua tatizo kwa kuzalisha tatizo jengine! Maswala ya uzazi wala sio tatizo ni upuuzi tu ambao mnataka kuanza kuaminishana.

Ukiwa tajiria hata uzae Yutong moja watoto hawawezi kuwa tatizo! Sababu unaweza kuwapa mitaji na shughuli za kufanya kama mzazi wao bila wao kutegemea ajira! Cha muhimu shauri watu kujibidiisha tu kuzalisha mali na kujijengea uwezo binafsi!

Ni upuuzi nimiliki maghorofa kariakoo na kinondoni halafu eti nizae mtoto mmoja! Huo ufala wanafanyaga wazungu tu mie nikiwa bilionea lazma watoto wafike 10! Hamna raha kama uwe tajiri na uwe na watoto wako wengi hapa sera ya mwarabu tu!

Nampongeza Counsilor salaah tajiri wa GSM kwa kumiliki vitoto vinne vya kike virembo! Akikaa navyo anakuwa kama mfalme vimemzunguka yani! Ile akili wanayo matajiri wachache sana nashauri aongeze hata wawili tena!
 
Hio mipango ya kishetani! Tanzania bado ina watu wachache sana ukicompare na dimensions zake!
 
Serikali inabidi irudi kuwaambia wasifyatue tu vinginevyo malalamiko ya ajira hayatapungua.
Watu vijijin wana watoto wengi mbona na wanalea freshi! Cha msingi serikali ingeacha tu kuwajaza watu upuuzi kuwa ukisoma ndio utafanikiwa kimaisha!

Wazazi pia wastuke kuwa elimu ni kifungo cha maisha! Sio kipaumbele tena bali pesa tu hivyo kama kuna uwezekano wa kushirikiana kama familia kuinuana basi hilo lifanyike mapema sana tuachane na akili za shule!
 
UWEPO WAKO DUNIANI NI WAMANUFAA SANA. Asante kwa kuikata minyonyoro minyororo ya utumwa wa fikra za binadamu wa dunia ya tatu, waishio na zakuambiwa.
 
Watu vijijin wana watoto wengi mbona na wanalea freshi! Cha msingi serikali ingeacha tu kuwajaza watu upuuzi kuwa ukisoma ndio utafanikiwa kimaisha!

Wazazi pia wastuke kuwa elimu ni kifungo cha maisha! Sio kipaumbele tena bali pesa tu hivyo kama kuna uwezekano wa kushirikiana kama familia kuinuana basi hilo lifanyike mapema sana tuachane na akili za shule!
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa elimu haina maana yoyote wala umuhimu wowote katika jamaii na kwa mtu binafsi?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Sina maana elimu haifai but isiwe kigezo cha mtu kuendesha maisha! Sera zetu za kielimu ndio zimetengeneza ulemavu wa akili kwa mamilioni ya watanzania!

Umaskini unaongezeka sababu productivity iliotegemewa haipo kazini
 
Naona unajaribu kutatua tatizo kwa kuzalisha tatizo jengine! Maswala ya uzazi wala sio tatizo ni upuuzi tu ambao mnataka kuanza kuaminishana.

Ukiwa tajiria hata uzae Yutong moja watoto hawawezi kuwa tatizo! Sababu unaweza kuwapa mitaji na shughuli za kufanya kama mzazi wao bila wao kutegemea ajira! Cha muhimu shauri watu kujibidiisha tu kuzalisha mali na kujijengea uwezo binafsi!

Ni upuuzi nimiliki maghorofa kariakoo na kinondoni halafu eti nizae mtoto mmoja! Huo ufala wanafanyaga wazungu tu mie nikiwa bilionea lazma watoto wafike 10! Hamna raha kama uwe tajiri na uwe na watoto wako wengi hapa sera ya mwarabu tu!

Nampongeza Counsilor salaah tajiri wa GSM kwa kumiliki vitoto vinne vya kike virembo! Akikaa navyo anakuwa kama mfalme vimemzunguka yani! Ile akili wanayo matajiri wachache sana nashauri aongeze hata wawili tena!
Uvivu na starehe kwa pamoja vinatutesa sana mi siamini uzazi wa mpango baadaye nchi itabaki na wazee tu halafu corona inapita nao.
 
Katika taifa ambalo kupata ajira ni suala la kufa na kupona ipo haja ya kupambana na tatizo katika vyanzo vyake mbalimbali badala ya kutibu dalili kwa muda mfupi tu.

Chanzo kimojowapo cha ukosefu mkubwa wa ajira ni watu kuzaa watoto wengi wasiowezwa kuhudumiwa na kuandaliwa vizuri na wazazi pamoja na serikali yao.Matokeo yake ni wimbi kubwa la vijana wasiojua hatma ya kesho

Serikali inapaswa ije na mpango wa kuhamasisha watu kuzaa watoto wachache na kukatisha tamaa mpango wa watu kuzaa watoto wengi ili kuleta uwiano kati ya idadi ya watu na ajira zinazozalishwa na uchumi wetu.

Ni wakati sahihi wa kutengeneza sera ya kuhamasisha familia za Kitanzania zisizidi watoto wawili ili wazazi waweze kuwahudumia na kuwaandaa vizuri watoto wao kukabiliana na uchumi unaotoa fursa finyu za ajira.
Na umasikini
 
Kuna shule mmoja kule kanda ya ziwa , ina vyumba vya madarasa vi 4 tu lkn hao watoto lundooooo na una ambiwa wazazi hawashiriki kuendeleza iyo shule ....wana dai shule BUREEE
 
Back
Top Bottom