Uzalo Special Thread

Inabidi Mxo na Mastermind wajiongeze, vinginevyo itakula kwao. Inakuweje Mk awapeleke kwa mtuhumiwa lakini kabla hata hawajamchukua maelezo Mk anaua mtuhumiwa mbele yao

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Tatizo mxo mbishi lkn zweli tangu mwanzo alisema hamuamini mk,but mxo.kama kawaida yake ubishi na kujiona yeye ndio final say
Nombuso nae kaenda kumpa za uso mxo
 
Leo xulu amefika nyumbni kwake mkewe anatak kulala tu ile kiwasha taa anamuona xulu amekaa kwa kiti

Ayanda nae ndoa ngumu kampa nombuso maneno ( in form of letter)ya kusema in front of the whole congregation

Mk amekutwa na mastermind nyumbni akiwa na smangele,
 
Xuly karudi home nyiee.
Mxo hili toto jinga aseeh
Ayanda ana akili ya baba yake xulu kabisa yaani. Jamaa mtu wa mipango na hesabu kali
 
Natamani kesho ifike nione inakuaje
Naona ndio atakumbuka nosipho alivyosema kamuona baba ake
 
Xuly karudi home nyiee.
Mxo hili toto jinga aseeh
Ayanda ana akili ya baba yake xulu kabisa yaani. Jamaa mtu wa mipango na hesabu kali
Wala siyo lijinga, ni lipumbavu kabisa.Mastermind kesha lítahadharisha kuhusu Mk lakini bado linakuwa libishi tu. Labda kwa vile mwenye mali yake karudi ndo itakuwa ponapona ya lenyewe, vinginevyo lingeula wa chuya.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mnoooo
Hlf mxo kamrithi baba halisi pastor
Kabisa yaani tabia huwa hazijifichi kabisa mxo ana akili fupi Kama ya kuku.
Zweli kaanza umafia kitambo ila lenyewe linambishia.. Damu ya pastor halisi kabisa hili.
 
Wala siyo lijinga, ni lipumbavu kabisa.Mastermind kesha lítahadharisha kuhusu Mk lakini bado linakuwa libishi tu. Labda kwa vile mwenye mali yake karudi ndo itakuwa ponapona ya lenyewe, vinginevyo lingeula wa chuya.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Na pia linatoa maboko kabisa alipoteza pesa za baba yake kwa yule tapeli Richard lakini bado halijifunzi kuamini mtu Mara mbili mbili tena Kama mjomba wake mk.
Bora xulu karudi labda atarudi kushika ofisi.
 
Leo xulu amefika nyumbni kwake mkewe anatak kulala tu ile kiwasha taa anamuona xulu amekaa kwa kiti

Ayanda nae ndoa ngumu kampa nombuso maneno ( in form of letter)ya kusema in front of the whole congregation

Mk amekutwa na mastermind nyumbni akiwa na smangele,
Unakwenda chumbani na kukutana na marehemu, jamani ingekuwa mimi ningezimia kabisa!
 
Leo nimeikosa tuambieni jamani tuanzie kwa mangcobo alipomuona xulu alifanyeje? Halafu tuendelee kwa nombu alikiri kanisani
 
Leo nimeikosa tuambieni jamani tuanzie kwa mangcobo alipomuona xulu alifanyeje? Halafu tuendelee kwa nombu alikiri kanisani
Mangcopo alishtuka lakini baadae alikwenda mpaka mahali Xulu alipojichimbia akiwa na yule askari,
Mabuza.Xulu alijitetea kwamba ana maadui wengi wanaotafuta kumuua ndio maana aliamua kusingizia kifo.Issue ya Sbu kuingia kwenye biashara ya familia ilijadiliwa Xulu akilaumu Sbu anafanya nini pale?Xulu akaingia kwenye familia ya Sbu na kumtishia ataua mama na mtoto kama Sbu asipotekeleza yake Xulu anayotaka.
Nombuso alikiri kanisani huku akimlaumu Ayanda.Kibao kilimgeukia Ayanda .Kanisa zima akiwemo mama yake na Smangele wakimlaumu sana Ayanda kwa kitendo hicho.
 
Mangcopo alishtuka lakini baadae alikwenda mpaka mahali Xulu alipojichimbia akiwa na yule askari.Xulu alijitetea kwamba ana maadui wengi wanaotafuta kumuua ndio maana aliamua kusingizia kifo.Issue ya Sbu kuingia kwenye biashara ya familia ilijadiliwa Xulu akilaumu Sbu anafanya nini pale?Xulu akaingia kwenye familia ya Sbu na kumtishia ataua mama na mtoto kama Sbu asipotekeleza yake Xulu anayotaka.
Nombuso alikiri kanisani huku akimlaumu Ayanda.Kibao kilimgeukia Ayanda .Kanisa zima akiwemo mama yake na Smangele wakimlaumu sana Ayanda kwa kitendo hicho.
Haka kanombuso kasnitch nilijua tu lazima katamgeuzia kibao ayanda maskini
Sasa ayanda ndio alimtuma aende kulala kwa mxo dah..
 
Back
Top Bottom