Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Dec 12, 2023 #1,941 Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,139 Dec 12, 2023 Thread starter #1,942 Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu
Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 2,145 Reaction score 4,292 Dec 13, 2023 #1,943 Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... mwendo wa marudio tu mwezi mzima
Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... mwendo wa marudio tu mwezi mzima
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Dec 13, 2023 #1,944 Bani Israel said: mwendo wa marudio tu mwezi mzima Click to expand... Kha! Wanaboa sasa
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Dec 13, 2023 #1,945 Its Pancho said: Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu Click to expand... Ni mwendo wa marudio ndugu
Its Pancho said: Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu Click to expand... Ni mwendo wa marudio ndugu
moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 8,040 Reaction score 16,870 Dec 13, 2023 #1,946 Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... wanarudia rudia tu ndugu tangu
Jagiya said: Jackal moneytalk Its Pancho Kibunango Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ? Click to expand... wanarudia rudia tu ndugu tangu
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Dec 13, 2023 #1,947 moneytalk said: wanarudia rudia tu ndugu tangu Click to expand... wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha
moneytalk said: wanarudia rudia tu ndugu tangu Click to expand... wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha
moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 8,040 Reaction score 16,870 Dec 14, 2023 #1,948 Jagiya said: wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha Click to expand... bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10
Jagiya said: wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha Click to expand... bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Dec 14, 2023 #1,949 moneytalk said: bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10 Click to expand... sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tu
moneytalk said: bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10 Click to expand... sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tu
nana_ JF-Expert Member Joined May 17, 2021 Posts 679 Reaction score 1,527 Mar 29, 2024 #1,950 Jagiya said: sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tu Click to expand... Vipi mkuu hivi uzalo bado ipo Jagiya
Jagiya said: sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tu Click to expand... Vipi mkuu hivi uzalo bado ipo Jagiya
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 Mar 29, 2024 #1,951 nana_ said: Vipi mkuu hivi uzalo bado ipo Jagiya Click to expand... Ni marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza
nana_ said: Vipi mkuu hivi uzalo bado ipo Jagiya Click to expand... Ni marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza
nana_ JF-Expert Member Joined May 17, 2021 Posts 679 Reaction score 1,527 Mar 29, 2024 #1,952 Jagiya said: Ni marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza Click to expand... ooh sawa
Jagiya said: Ni marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza Click to expand... ooh sawa
afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,728 Apr 27, 2024 #1,953 UZALO ni upuuzi mtupu sijaangalia sasa miezi kibao baada ya kupoteza muda kusuburi muendelezo zaidi ya mwezi .....mpaka hapo ITV is useless to me
UZALO ni upuuzi mtupu sijaangalia sasa miezi kibao baada ya kupoteza muda kusuburi muendelezo zaidi ya mwezi .....mpaka hapo ITV is useless to me
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 Apr 27, 2024 #1,954 afande kifimbo said: UZALO ni upuuzi mtupu sijaangalia sasa miezi kibao baada ya kupoteza muda kusuburi muendelezo zaidi ya mwezi .....mpaka hapo ITV is useless to me Click to expand... Juzi nilichungulia kidogo.... Bado wapo kwenye marudio!
afande kifimbo said: UZALO ni upuuzi mtupu sijaangalia sasa miezi kibao baada ya kupoteza muda kusuburi muendelezo zaidi ya mwezi .....mpaka hapo ITV is useless to me Click to expand... Juzi nilichungulia kidogo.... Bado wapo kwenye marudio!
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,215 Reaction score 1,858 May 4, 2024 #1,955 Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel
Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,531 Reaction score 2,490 May 4, 2024 #1,956 Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... Hata sijui pa kuanzia.... Labda kwenye social media zao unaweza kuacha comments juu ya hilo.,
Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... Hata sijui pa kuanzia.... Labda kwenye social media zao unaweza kuacha comments juu ya hilo.,
nana_ JF-Expert Member Joined May 17, 2021 Posts 679 Reaction score 1,527 May 5, 2024 #1,957 Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... nimeshawahi kutafuta source zingine nikikosa, nikaja kuona kwenye Chanel moja hivi ya SA mwaka juzi but ipo inaendelea mpaka leo
Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... nimeshawahi kutafuta source zingine nikikosa, nikaja kuona kwenye Chanel moja hivi ya SA mwaka juzi but ipo inaendelea mpaka leo
Minja Ngalason JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 1,506 Reaction score 2,189 May 5, 2024 #1,958 Huu uzi wako na Tamthilia yako mtaangalia wewe na MIZIMU ya kikwenu
moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 8,040 Reaction score 16,870 May 5, 2024 #1,959 Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... nilikua naangalia itv kwasababu ya uzalo ila sasa hivi siangalii tena,pole dear
Jagiya said: Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel Click to expand... nilikua naangalia itv kwasababu ya uzalo ila sasa hivi siangalii tena,pole dear
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,139 May 5, 2024 Thread starter #1,960 Wakuu tangu nianzishe uzalo thread nikawa busy kidogo Je bado inaendelea? Jagiya