Uzalo Special Thread

weweee.... yule mzee ukishaomba ela lazma ajue unapeleka wapi.. siunajua yule ni sungusungu wa kwamashu😅
Dah afu kweli nitakuwa nimejitengenezea kaburi langu mwenyewe atanchunguza mpaka ukoo wangu kama tumewahi kuiba hata kijiko nimekwisha... Basi kwa sis D tuhame 😀
 
After three months pass dada yake zweli karudi ila zweli hajarudi,

Dlohmo kapandishwa cheo na kuwa acknowledged kwa kazi alofanya mpaka kumkamata zulu,

Mxo kaachiwa huru na kampigia mama mchungaji na sio mke wa xulu so mama yake anawaambia ayanda na Mdogo wake wakamfate mxo wote wanakataa wanasema wapo busy,

Mama mchungaji anamfata mxo prison kumchukua anakutana na mke wa xulu, mke wa xulu anashangaa mxo ametoka hajamwambia, mxo anamsalimia na kuondoka na ma mchungaji,

Mke wa zulu anamwambia nosi haiwezekani amlee mxo alafu anamfanyia hivo, na kampuni yao inaonekana imefilisika haiwezi kuwalipa wafanyakazi na inataka ifilisiwe magari yote so they need back mxo bcoz they can’t to operate by themselves,

Mxo now is new member at mchungaji’s family, he’s two brothers (ayanda na Mdogo wake wanaonekana hawamtaki) but mama ndo kashaamua.

Xulu katoroka gerezani. Imeishia hapo

Mtanisamehe sijakariri majina yao
 
Imeeleweka sanaa akijasalia kitu heko kwako kiongozi
 
Umeweza sana
 
Safi sana kwa kazi nzuri hiyo ya leo
Niliwaambia xulu hapa anachomoka yaani mkawa wabishi jamaa namuamini sana Mafia huyu

Huyu mkuda katuharibia kabisa uhondo sema mxo nae labda kaona hataki tena kufanya uhalifu kaamua abadilike tu na kwenda kwa mama yake wa ukweli..

Sasa ayanda nae anasubiri nini kwenda kwa mama yake?

Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom