mama ngcobo muhuni sana kama mumewe,
niliona jana mxo kafungua mkoba wa nombuso kakuta zile paper sijui itakuwaje ?
mshkji wangu mabuza sijamuona sijapenda.
🙂🙂
nadhani mxo anajichimbia kaburi baba yake kaamua kumuacha {japo baba feki]
Jagiya naona mumeo alimpa zweli makavu utakuwa umemfundisha
🙂🙂
na wewe crush wa xulu
Vera ginger si bora ukate tamaa tuyajenge maana mama ngcobo kakaba mpaka penalti
🙂
nilikuwepo