Uzalo Special Thread

Mxolisi naye hovyo tu badala aenda zake jozi ila kabaki kurumbana na dingi yake tu.
Huyu dogo namuonaga kama fala kumbe huko jozi alikuwa na kazi kabisa akaacha eti
Baba yake yupo sawa kabisa kumwambia atafute vyake sio kuparamia vilivyoundwa
 
Mchungaji amefedheheka lakini mke wake[Mama mchungaji] wakiwa wamebaki peke yao kanisani amemshauri mme wake kuchukua zile pesa kwaajili ya mazishi ya yule binti [sindi].

Mxolisi Kama kawaida ugomvi na dingi yake haujaisha.

Ayanda yeye na mishe zake za U-DJ tu.

Mastermind baada ya kumwambia bosi wake [xulu] kuwa anajua alipo sbu sasa ameamu kwenda mastermind mwenyewe kumkamata Kama si kumuua lakini bahati mbaya baada ya mastermind kufika pale anayemkuta si sbu bali jamaa mwingine kabisa,akajalibu kupiga simu ya sbu lkn ikaiita mfukoni mwa jamaa.

Mwishoni inaonekana Kuna Jamaa mmoja mfungwa anapiga simu kutokea gerezani kwa kutumia simu ya gereza inaunganishwa Moja kwa Moja kuelekea kwa xulu,xulu akiwa kitandani anaipokea,Jamaa aongei dakika Moja mbele jamaa anakata simu.
shukran mkuu kwa updates
 
Mxolisi ananiuzi kufunga kifungo mpaka cha juu kábisa cha shati hiyo style kwangu ni ya kizee na mtu formal hadi anabore..au siriaz kupita kiasi..kwani angekifungua inamkost nn unakuta linakula kifungo kimefungwa kana kwamba atavaa tai juu...so bored
 
hahaa kweli anaboa...na kunaiyo angalia yake ya hasira anavyoweka ayo macho sasa kha!utazan anakata roho
 
mxolisi character yake inaboa yaani
Kila mara kuharibu mood za wenzie halafu ujuaji mwingi,
Anabishana na pesa zilizomlea anazoziita illegal..!
Pastor ni mtu mmoja makini sana, yuko straight yaani
Master and xulu wameyamaliza sasa acha tuone

Sema mabuza nalikubali sana linavyomshikilia dhlomo hadi anapata hasira.. Akiwa na captain...

Nilicheka pale pastor alipowekewa headphones kusikiliza kazi ya ayanda😀😀😀
 
mxolisi acha tuone mwisho wa kiburi na ujuaji wake...
mabuza kweli kama kukaba anakaba haswaaa...pale kwa pastor 🤣🤣jamani...pastor naye yumoo😅
 
sindio yaani yupo kama anataka kuibeba familia na kuiongoza wakati hana chochote
ndio anapokosea anataka kuwa kichwa cha familia wakati baba yake bado ana nguvu kabisa
Sometime naona anam disrespect xulu mbele ya mkewe sema xulu kawadekeza wanae anakausha tu..
Mtu mwenyewe hajui hata mambo lazima yaende kinyama
 
mxolisi acha tuone mwisho wa kiburi na ujuaji wake...
mabuza kweli kama kukaba anakaba haswaaa...pale kwa pastor 🤣🤣jamani...pastor naye yumoo😅
pastor alipata vibe na mapbone yale sauti liikuwa juu
Ayanda ni kama ana kiburi lakini sio, jamaa ni kama anataka kutimiza ndoto zake na anapenda wazazi wake wafurahi hasa mshua wake ndio maana jana akakubali kwenda kwenye mazishi.. Ila sijui ukweli pastor atasoma zile paper ajue?
 
ndio anapokosea anataka kuwa kichwa cha familia wakati baba yake bado ana nguvu kabisa
Sometime naona anam disrespect xulu mbele ya mkewe sema xulu kawadekeza wanae anakausha tu..
Mtu mwenyewe hajui hata mambo lazima yaende kinyama
ndio,hivyo pia inatokana na malezi lakini kwake imekua too much maana mdogo wake yule anaelewa tu kua familia yake inafanya biashara yenye magendo ndani yake lakini anaamua kufata mambo yake...ambayo kwa kaka yake ni tofauti
 
pastor alipata vibe na mapbone yale sauti liikuwa juu
Ayanda ni kama ana kiburi lakini sio, jamaa ni kama anataka kutimiza ndoto zake na anapenda wazazi wake wafurahi hasa mshua wake ndio maana jana akakubali kwenda kwenye mazishi.. Ila sijui ukweli pastor atasoma zile paper ajue?
apo kwa pastor asiposoma izo paper akiwa hapo home sidhani kama atapata chance tena,ayanda kiukweli anawapenda wazazi wake japo mama amekua na nongwa sana kwake...na inaonyesha mama hajali ndoto ya mtoto wake
 
Pastor anajiingiza kwenye bifu lisilomuhusu... Lile jicho lake alipokuwa anamuangalia xulu dah noma..
Sema pastor licha ya dhlomo kukiri kwamba yeye pia anahusika kwenye drama hii sababu ya kumuweka sbu amchunguze bosi wake, lakini pastor kamkomalia xulu, tena wamepigana mikwara mizito xulu asiende church na pastor asikanyage ofisni kwa xulu 😁😁

Ayanda ameanza kutoboa taratibu, mama yake sasa ataanza kuheshimu kazi ya mwanae,,

Mama pastor mbea akataka kufungua zile paper azione Angezimia mbona?😁

Mxolisi ana dharau sana yaani jinsi alivyomuangalia babaake na macho yake yalivyo mabaya...anaboa

Pastor na xulu kwa sasa tukae humo.
Sema hapa nawakubali wote pastor na xulu sichagui upande hapa
 
pastor ilo bifu lake na xulu limeibuka kama mzimu...
kwa mdogo wake mxolisi nafurahi kumwona kafarijika na kutoka kwenye uwoga na dimbwi la mawazo..(ambapo mama yake alionyesha kutokujali hilo.)
natamani ayanda azidi kusonga kwa kasii ili maza aone jinsi gani hakuwa sahihi kwa kumzinga zinga asitimize ndoto zake
 
Soon ayanda atamla nkule maana alivyombeba beba pale 😀😀😀
Hii ishu naona pastor kavamia kwa maslahi ya kanisa lake.. Kanisa lenyewe hata halijaagi
 
hahaha ngoja tusubiri manyoya tu maana si kwa ukaribu huo..
pasta anaogopa mashambulizi mengine...anachunga kondoo wake😅
 
Back
Top Bottom