Uzalo Special Thread

😢dah aseh so mk alikua anasingiziwa tu poor him, mabuza sio kabisa aseh.... Nnachotamani kwa nombuso sai ni afe tu hana chamaana anachofanya😡 namchukia..... uyo mxo nae hana akili acha mtoto wa mjini amtoe hao funza kichwani
Nombuso atamuendesha sana Ayanda na imeshaanza kujionesha.
 
Leooo dah 😀
Kwanzaa bibi harusi aligegedwa usiku kucha na bwana jela yule.. Then kesho kaenda kuolewa.
Siku ya harusi bwana jela wetu kaja kuvuruga matokeo yake bwana harusi akashindwa kuvumilia akaamua kumpa kipondo cha haja mwana yule wa xulu.. 😀😀💪💪

Na uzuri bwana harusi kashasanuka maana yule mwana yule asiye na adabu kafunguka yote kuwa yeye ndio alifungua njia kwa bibi harusi, kwa maneno mengine yeye ndio alikata utepe..bwana harusi akaona imetosha sasa akshusha kibano.. Na honneymon kakataa kuila kabisa.. 💪💪🙌🏾🙌🏾

Leo ni code tu.
Jagiya ,Vera ginger , Kool the gang , Mtoto wa Baba
 
Dah, kutokuwa na msimamo aseh utachakazwaa... nombuso kamuaibisha ayanda mnoo, sio kwa kudhalilishwa kule na mxo... uyu mwanamke hamnazo sana
 
Ila kanombuso bwana kanakera kweli, hakaeleweki yaan kanabehave kama standard three pupil

Mimi nataka tu hii scene ya Nombuso iishe ananiudhi
 
Dah, kutokuwa na msimamo aseh utachakazwaa... nombuso kamuaibisha ayanda mnoo, sio kwa kudhalilishwa kule na mxo... uyu mwanamke hamnazo sana
Kajidhalilisha nae pia huyu demu ayanda alisukumizwa na mxo mara ya kwanza hakumind.
Lakini kwa dharau zile mbele za umati akaona inatosha sasa..
 
Hakuna cha honeymoon hapo
Kweli kabisa. Niliangalia season two, Nikaona pasta baba yake ayanda atafanya Ile biashara ya Mr Zulu .pia nae mafia Kama Zulu. Na anataka kumuuwa Msster mind. Anamtuma mxolisi kufanikisha Ilo ila jamaa anamtaalifu master mind aondoke kwa mashu but nae mbishi hataki kuondoka. Hii Kitu Mbele ni 🔥 🔥
 
umeiangalizia wapi mkuu niicheki yote maana kusubilia inaboa sana.
 
Leooo dah
Kwanzaa bibi harusi aligegedwa usiku kucha na bwana jela yule.. Then kesho kaenda kuolewa.
Siku ya harusi bwana jela wetu kaja kuvuruga matokeo yake bwana harusi akashindwa kuvumilia akaamua kumpa kipondo cha haja mwana yule wa xulu..

Na uzuri bwana harusi kashasanuka maana yule mwana yule asiye na adabu kafunguka yote kuwa yeye ndio alifungua njia kwa bibi harusi, kwa maneno mengine yeye ndio alikata utepe..bwana harusi akaona imetosha sasa akshusha kibano.. Na honneymon kakataa kuila kabisa..

Leo ni code tu.
Jagiya ,Vera ginger , Kool the gang , Mtoto wa Baba
Daaah hatari sana
 
Safi sana ayanda kwa kumkazia huyu demu malaya kaanza kujirudi.. Lakini kuna hatari ya huyu nombu kurudi kwa mxo. Watch it ayanda..
Mxo soon anakwenda jela hana akili huyu dogo kamuamini sbu kirahisi sana atakiona cha mtema kuni..

Huyu amandla anaboa sana anawajibu wakubwa wake kina zweli shit na upuuzi.. Chapa viboko kabisa.

Zweli kashanasa kwa nosipho yaani hata thobile akimpigia simu anamkatia, master nae soon ataharibu bara na pwani..

Nilikuwepo...
 
Master handsome,sema mafia na hamuamini hata kdg sbu
 
Jamani muwe mnatusifia na sisi mahendisamu huoni avatar yangu hapo zweli namuacha mbali.. (joke)
Jamaa wanamgombania thobile haachii,
Kwanzia sasa mmekuwa watatu wewe,nosi,thobile, tuone mshindi atatangazwa msikitini au kanisani.
 
Back
Top Bottom