Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,126
- 1,577
Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama hurumaKwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.
Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. 😀😀
Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso..
Vera ginger, Jagiya.
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi fresh😅