Uzalendo unanishinda huku Brazil (No MakeUp)

Uzalendo unanishinda huku Brazil (No MakeUp)

NAPITA nisalimie deo kumwembe nasikia yupo huko.

Ka swali kauchokozi hako haya hata yule wa ile redio eti ya vijana nilibahatika kumuona pia ila naona alikuwa bize kumtafuta Kocha wa Yanga lakini sijui kama alimpata maana kunakiongozi mmoja wa yanga alimuwekea kauzibe.
 
wameshaonwa ngoja warudi kwao kama mtawaona tena ni kunyongwa tu!
 
Mie ningekuwa wewe nashinda ufukweni tu kuangalia vibao


Fafanua kidogo.....ufukweni ndani ya maji kupiga nyeto kila dakika 5 baada ya kuona watoto wa kiukweli na vichupi vyao au nje ya maji kushangaa vichupi?
 
Mkuu NAPITA itabidi uwe unaongeza kiingilio maana unapita two in one! huku soka huku 'watoto'
 
Last edited by a moderator:
Mambo juu ya mambo bysange. HARUFU, kivyako, Jamaa_Mbishi, daniel kalasha mzee wa kitufti nilibahatika kukiona kimoja nikakumbuka ilo neno lako nikacheka mwenyewe.
photo.jpg
photo.jpg
photo.jpg
fe.png
ds.JPG
ds.JPG
ecuador-v-france-group-e-20140625-194634-668.jpgecuador-v-france-group-e-20140625-194634-668.jpg
ecuador-v-france-group-e-20140625-194634-668.jpgecuador-v-france-group-e-20140625-194634-668.jpg
iran.jpgiran.jpgiran.jpg
iran.jpgiran.jpg
 
Mimi nimekuelimisha tu kama hutaki shauri yako
Asante sikujua lengo lako.

Mimi nilikuwa nataka niwekane sawa na yule jamaa alietaka kuleta malumbano ya dini wakati sredi haikuhusiana na michongo aliyotaka kuniletea, na ukiachilia mbali tupo hapa kupeana taarifa na kuburudishana sasa yule jamaa akaanza kuleta michongo isiyoeleweka. Watu kama wale ndio wanaoharibu sredi za watu kwa kuleta udini
 
Back
Top Bottom