Uzalendo unanishinda huku Brazil (No MakeUp)

Uzalendo unanishinda huku Brazil (No MakeUp)

Wanaweza wakaenda 100 wakarudi watano wengine wamezamia mi siwahamini sana Dada zetu ha!ha!ha! kuna ambao nimekutana nao huku nataka nifunge nao kazi kwenye Mfurulizo wa Post zangu humu kuhusu Brazil we subili tu mkuu...
Umeona hapo sasa?

Hawajakuletea michongo ya kutaka kuja kukutembelea hotelini kwako? mana nawajua hao
 
Umeona hapo sasa?

Hawajakuletea michongo ya kutaka kuja kukutembelea hotelini kwako? mana nawajua hao
We acha tu Mkuu ngoja mi nisonge taratibu uwanjani

f.jpeg
 
Ngozi zao hao zinanuka hawaogagi usidanganywe na pafumu
 
Yani mkuu ndo kunapambazuka huku ukienda ufukweni Hatari sana kama mie ambae sijazoea kuona vichupi basi shida sana nimezoea kuviona ndani tu lakini huku weeee!!

Aisharabosika nakemea kwa lugha sina .parasikonarabo.ushindwee
 
Sikubaliani na wewe
wewe si huwajui. Mimi nawajua nimeishi nao. Pole sana kama ulidhani ngozi nyeupe ni dili. Wanatamani sana ngozi yetu! Na wengi wanatumia sana pafumu. na huwa hawaogi kila siku kuepuka kuharibu ngozi. ni ngozi tu ya muafrika inayoweza kuoga kila siku na isiharibike.
 
Back
Top Bottom