Mie ningekuwa wewe nashinda ufukweni tu kuangalia vibaoYani mkuu ndo kunapambazuka huku ukienda ufukweni Hatari sana kama mie ambae sijazoea kuona vichupi basi shida sana nimezoea kuviona ndani tu lakini huku weeee!!
Shingo itauma kwa kuigeuzageuza na mwisho wa siku utashindwa uelekee wapi maana mmmmh!Mie ningekuwa wewe nashinda ufukweni tu kuangalia vibao
hahahaaaaaaaaaaaaa,ila wenzetu utakuta wanawaona wa kawaida sanaNilikuwa sijui kama IRAN kuna watoto wazuri aiseee wako vizuri sana.
Ni kweli mkuu ugeni wa macho mimi naona wageni wengi wakija bongo wanasema mademu wa kibongo wakali sana, wakati sie tanaona kawaidahahahaaaaaaaaaaaaa,ila wenzetu utakuta wanawaona wa kawaida sana
Hapana na wenyewe wanamendea sana tu mkuu unajua nilichokuja kungudua hawa wengi wao wako Ulaya wanaishi sasa timu yao ipo uku brazil wamekuja kuishangilia.Tanzania na sisi ebu tuje tushiliki wakubali totozz zetu sasa sijui zitakuja au watakuja wanaoishi mamton..hahahaaaaaaaaaaaaa,ila wenzetu utakuta wanawaona wa kawaida sana
Tutawatesa sana na totoz zetu za kibongo lakini sio totoz walete mambo ya kujilipua inatakiwa wanaangalia mashindano kisha wanarudi hapa nyumbani.Hapana na wenyewe wanamendea sana tu mkuu unajua nilichokuja kungudua hawa wengi wao wako Ulaya wanaishi sasa timu yao ipo uku brazil wamekuja kuishangilia.Tanzania na sisi ebu tuje tushiliki wakubali totozz zetu sasa sijui zitakuja au watakuja wanaoishi mamton..
Tutawatesa sana na totoz zetu za kibongo lakini sio totoz walete mambo ya kujilipua inatakiwa wanaangalia mashindano kisha wanarudi hapa nyumbani.
Sio kutafuta wanaume wenyeji kinguvu kwa ajili ya makaratasi, tunataka wanaenda kwenye mashindano kisha wanageuka baada ya mashindano au baada ya timu yetu kutolewa, sio kuzamia