Hahahahah....kwa hiyo hapa anazuga ama?
babu ndio tunajua kulea...wewe mwenyewe wajua ninavyokulea...
usimuongopee mama bebi..
ah bebi napata faraja sana nikijibu ujumbe wako.....
Hahahahah....kwa hiyo hapa anazuga ama?
Ananisingizia
mama ni ukweli mtupu anakuzugia tu hapa...