amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
Sipendelei michepuko lakini sina jinsi hali mbaya. Dushelele langu linasimama dede mara kwa mara na halichagui sehemu iwe kwenye daladala, ofisini, barabarani yaani mahala popote tu. Hii ni wiki ya pili baada ya wife kusafiri kwenda kumuuguza mamamkwe. Haijawahi kunitokea hali kama hii sijui ni kwa nini kipindi hiki imekuwa hivi.