Uzalendo umenishinda naelekea kutafuta Mchepuko

Uzalendo umenishinda naelekea kutafuta Mchepuko

sasa ukichepuka halafu chepuko likakunogea sindo mambo ya usalíti yanaanza
 
bibi wapi....

kaka gani huyo ana mbwa....? unafikiri namuogopa?

mimi sio fataki... kwani mimi ni....

mama mkwe ananipenda tena sana...!

We ulifikiri utasemaje zaidi ya kujifariji??
 
bibi wapi....

kaka gani huyo ana mbwa....? unafikiri namuogopa?

mimi sio fataki... kwani mimi ni....

mama mkwe ananipenda tena sana...!

Tena fataki wa kuibukia wewe ona unavyombwelambwela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom