Uyoga ni mzuri na ni mtamu, una vitamini zote, Karibuni

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
Uyoga unauzwa kwa bei nafuu, ni uyoga wa hapa hapa Tanzania, ni fresh, haujawekwa madawa. karibuni kama ukihitaji tuwasiliane kwa pm baadae tutapeana namba. KARIBUNI SAAAANA.
 
Alafu wewe unauza uyoga eti wakuPM unaficha ficha nini ww? Weka kila kitu hadharani mfano Location/Mahala ulipo, bei ya huo uyoga wako, je unauza katika ujazo gani kwa mafungu au kwa kilo, mawasiliano n.k sio kila kitu eti niPM????
 
kama unahitaji wala hutaona kero ya hili tangazo, ila najua hii ni kawaida kwa baadhi ya watu kuhamaki hata katika vitu vidogo. wewe kama ni mteja usijali, muda si mrefu nitakuwekea na picha. KARIBUNI SANA!
 
kama unahitaji wala hutaona kero ya hili tangazo, ila najua hii ni kawaida kwa baadhi ya watu kuhamaki hata katika vitu vidogo. wewe kama ni mteja usijali, muda si mrefu nitakuwekea na picha. KARIBUNI SANA!
Asante,ila wanunuaji wanajulikana,wengine sie wapiga zogo tu.
Hongera kwa ujasiriamali.
Sie watu wa ukanda wa Lake tanganyika tunajua faida za uyoga.
Ila wajue tu Uyoga kwa wenye mihemko myepesi shughuli ipo,maana kwa mimba huo
 
ni ujazo wa gm 50 kwa bei ya Tsh. 3,000/= namba za simu ndio hizo kwenye package. KARIBUNI SANA
 
Karibuni sana, picha ndio hizo na namba za simu zipo hapo.
 

Attachments

  • 10841473_1533754066865499_80665695_n.jpg
    10841473_1533754066865499_80665695_n.jpg
    84 KB · Views: 133
  • 10846797_1533754350198804_213089362_n.jpg
    10846797_1533754350198804_213089362_n.jpg
    101.3 KB · Views: 116
  • 10850806_1533754186865487_1941657296_n.jpg
    10850806_1533754186865487_1941657296_n.jpg
    91.6 KB · Views: 118
Aisee we Masai tunajua we ni mshamba,umezoe kula nyamba mbichi na mambo ya Vegetable sio yako.
Maana hata keki ya siku ya kuolewa imetengezezwa kwa Maini ya punda.
We dada hapana kuja mjini

sheeee natishia mimi


elekesa mimi bana nipikie baba yeyo
 
Back
Top Bottom