Asante,ila wanunuaji wanajulikana,wengine sie wapiga zogo tu.kama unahitaji wala hutaona kero ya hili tangazo, ila najua hii ni kawaida kwa baadhi ya watu kuhamaki hata katika vitu vidogo. wewe kama ni mteja usijali, muda si mrefu nitakuwekea na picha. KARIBUNI SANA!
ni ujazo wa gm 50 kwa bei ya Tsh. 3,000/= namba za simu ndio hizo kwenye package. KARIBUNI SANA
50 grams ? are you joking
Aisee we Masai tunajua we ni mshamba,umezoe kula nyamba mbichi na mambo ya Vegetable sio yako.sheee hii kitu inapikwaje?
Aisee we Masai tunajua we ni mshamba,umezoe kula nyamba mbichi na mambo ya Vegetable sio yako.
Maana hata keki ya siku ya kuolewa imetengezezwa kwa Maini ya punda.
We dada hapana kuja mjini