Kuna njemba nilisoma nayo (sio mie lakini), ilikuwa inaweza kukupa rangi ya kufuli la mwanamke alilovaa kwa kuangalia kivuli chake tu. Kulaleki! hii njemba ilifeli la saba na hivi tunaongea inaugua kaswende.
Ile ya kioo sio mimi tu, hata mwalim wangu wa physics alikuwa na waifu na nyumba ndogo lakini still alikuwa anakuja ka kioo chake. Vioo ni janga la taifa aisee! uskute hata hawa mods wetu pia ni wazee wa vioo.
heri mie sijasema
Hahaha,mods wana vioo vya kisasa eh?inabidi nikavae skin tite ndo nirudi,kha! Ila kloro sasa uko form two unajua small house ya mwalimu? Na ww ulikua na small kibanda umizav