Dunia ya nne a.k.a Tanzaniahuyu jamaa baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
Ni macho ya watanzania wenye access ya habari pekee ndio wanaoiangalia Igunga kwa sasa, sio Dunia
Niliona jamaa mmoja na bango limeandikwa 'Chadema,tumaini letu wana Igunga' huyu jamaa alikuwa amechoka sana tena sana maskini...
Nadhani tumaini la wana Igunga na watanzania wote ni serikali komavu ,na si vyama vya siasa...so painful hii nchi tunakoelekea kwa sasa...
But again pengine siasa hizi zimeleta changamoto ya mwamko wa mwenendo wa serikali, zamani serikali had an 'I don't care attitude' sasa hivi CDM whistles and govt listens @least bungeni....
Dunia nzima ipi? Na hii 'dunia nzima' inaangalia Igunga kwa nini? Kuna nini hasa cha kuifanya dunia 'nzima' iangalie Igunga? au ina maslahi gani na Igunga? In his right mind January Makama anataka watu wa Igunga wafanye nini ili kukidhi haja ya 'dunia nzima?
Madalali utawajuwa tu!
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
Du mkuu umenivunja mbavu,,, binafsi sijaona hicho aliochookiita macho ya dunia yako Igunga..jambo lingine nlilolifanyia tathmini ndongo huju january si mzungumzaji mzuri mfano katika hotuba ametamka "CCM wamekamata ardhi na kwa sasa wako angani" je kauli hii inahusiana nini na mahitaji ya wanaigunga?
Kwenye siasa kila mmoja anaruhusiwa kuongea lake.
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka!.
Mh!politics za Tz bwana!,,yani unadanganya live bila woga,,halafu we huyoo!kweli SIASA ZA TZ NI UONGO,Natamani baada ya Igunda lidondoke gamba jingine ili twende uchaguzini tena kufaidi UONGO
Dogo lkilaza kweli, na hiyo lazima atakuwa ametumwa na dingi kuzungumza, zile sio akili zake!