Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
 
yaani ukitizama makampuni makubwa kama bbc,cnn,aljazeera hawatangazi kabisa mambo ya tanzania wakati wa uchaguzi kama wanavyotangaza zambia na kenya,jamaa ni kilaza kinoma
 
Dunia nzima ipi? Na hii 'dunia nzima' inaangalia Igunga kwa nini? Kuna nini hasa cha kuifanya dunia 'nzima' iangalie Igunga? au ina maslahi gani na Igunga? In his right mind January Makama anataka watu wa Igunga wafanye nini ili kukidhi haja ya 'dunia nzima?

Madalali utawajuwa tu!
 
Ni macho ya watanzania wenye access ya habari pekee ndio wanaoiangalia Igunga kwa sasa, sio Dunia

Niliona jamaa mmoja na bango limeandikwa 'Chadema,tumaini letu wana Igunga' huyu jamaa alikuwa amechoka sana tena sana maskini...

Nadhani tumaini la wana Igunga na watanzania wote ni serikali komavu ,na si vyama vya siasa...so painful hii nchi tunakoelekea kwa sasa...

But again pengine siasa hizi zimeleta changamoto ya mwamko wa mwenendo wa serikali, zamani serikali had an 'I don't care attitude' sasa hivi CDM whistles and govt listens @least bungeni....
 
Mh!politics za Tz bwana!,,yani unadanganya live bila woga,,halafu we huyoo!kweli SIASA ZA TZ NI UONGO,Natamani baada ya Igunda lidondoke gamba jingine ili twende uchaguzini tena kufaidi UONGO
 
nilimwona yule jamaa aliyeshika bango,inasikitisha sana
mungu hawezi kutuma malaika kututoa kwenye hili,inabidi tufanye wenyewe kama wazambia walivyofanya
 
Dunia nzima ipi? Na hii 'dunia nzima' inaangalia Igunga kwa nini? Kuna nini hasa cha kuifanya dunia 'nzima' iangalie Igunga? au ina maslahi gani na Igunga? In his right mind January Makama anataka watu wa Igunga wafanye nini ili kukidhi haja ya 'dunia nzima?

Madalali utawajuwa tu!

Du mkuu umenivunja mbavu,,, binafsi sijaona hicho aliochookiita macho ya dunia yako Igunga..jambo lingine nlilolifanyia tathmini ndongo huju january si mzungumzaji mzuri mfano katika hotuba ametamka "CCM wamekamata ardhi na kwa sasa wako angani" je kauli hii inahusiana nini na mahitaji ya wanaigunga?
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

Ndio maana ccm wanautumia mtaji wa ujinga wa Watanzania kuwadanganya wananchi,hii kali ipo siku watasema Obama atakuja kifungua kampeni za ccm!!!!!kwelii magamba(ccm)ni noma
 
Du mkuu umenivunja mbavu,,, binafsi sijaona hicho aliochookiita macho ya dunia yako Igunga..jambo lingine nlilolifanyia tathmini ndongo huju january si mzungumzaji mzuri mfano katika hotuba ametamka "CCM wamekamata ardhi na kwa sasa wako angani" je kauli hii inahusiana nini na mahitaji ya wanaigunga?

kusema wamekamata anga labda ni kwa vile ni mara ya kwanza kukwea helcopter
 
Kwenye siasa kila mmoja anaruhusiwa kuongea lake.

Ni sawa mkuu. Ila usiwe uongo. watanzania wa sasa sio wazamani. Tupo makini sana. Juzi mgombea Mbunge kwa tiketi CCM alipata aibu kubwa baada ya kudanganya mdahalo.
 
kwao potwe huyo, kwa ndumba, mpaka jisura limembadilika, kwa mwendo huu, miaka yake mitatu tu atakuwa ameshafanana na wasiraa!!
 
Mh!politics za Tz bwana!,,yani unadanganya live bila woga,,halafu we huyoo!kweli SIASA ZA TZ NI UONGO,Natamani baada ya Igunda lidondoke gamba jingine ili twende uchaguzini tena kufaidi UONGO

Mengine mawili yamevuliwa yameishia kiunoni wanasubiri mpangaji wa magogoni ayamalizie sidhani kama atalhubutu
 
Back
Top Bottom