sawa na WIGI anavaa mwanamke unasema loo leo nimeopoa kimwana ukifika naye sehemu likidondoka wakati anavua suruali yake ya taiti utadhani mtu mwingine kaingia
Inabidi wanateknolojia wa invent 360 glasses....yani miwani zenye effects kuendana na hizo kamera. Siku unaenda fanya hiyo date unavaa miwani yako hapo mtakuwa mnaenda sawa.

kweli kabisa tena kuna zile wanashonea ndani ya nywele zao wanaunganisha .. yaani huwezi kugundua .. wanawake wengi mjini ni artficial .. hawa kuwagundua mpaka wakutane na sekeke ya kulala polisi asubuhi uende ukamsalimie ..utafurahi ..

Na mara nyingi picha zinazowekwa katika mitandao ya kijamii zinapigwa wakiwa wameweka hayo ma-make up,,,,,huwezi kutana na picha iliyopigwa mtu alipotoka kulala....