uwiiiiiiii nisaidieni....

Beer is most effective stress delivery I kno, go grab sam few bottles then ulale uamke uende kwenye hiyo interview ya kazi ambayo hauitaki.
Nb: Kazi inatafutiwa kazini,usichague kazi kiivyo.
 
Saicological disoder nafikiri, kuna wakati mtu unaweza kuta moyo una uma kama vile kunakiti kibaya umefanya bt hijui chochote kile!! Lala kwa muda na tafuta mtu kama mpenzi wako kuwa nae karibu!!
Also PRAYER as u can!
 
Back
Top Bottom