uwiiiiiiii nisaidieni....

uwiiiiiiii nisaidieni....

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
moyo waenda mbio, nina wasawasi, cna raha, cna amani, kila kitu ovyo tu..
 
moyo waenda mbio, nina wasawasi, cna raha, cna amani, kila kitu ovyo tu..
Hebu jikague vizuri, lazima kuna kitu kimekukwaza hata kama ni jana, au kuna jambo sio jema umelifanya, sio bure!
 
Yaani tangu asubuhi hakuna nilichofanya, nazunguka zunguka tu ndani ya nyumba, hali niliyo nayo cjui niielezee vipi

Sounds to me like you are experiencing a nervous breakdown.
 
Sasa tutakusaidiaje wakati haujatueleza una tatizo gani? Tueleze tatizo lako ili tujue jinsi ya kukusaidia.
 
moyo waenda mbio, nina wasawasi, cna raha, cna amani, kila kitu ovyo tu..

Fungua gender pls, tukupe perfection Roadmap
haya faster! Kama unajitaka upumue. Magonjwa mengine sio ya Apolo - New delhi
tunakutibu hanohano.
 
Kama una interview kesho usiende utazimia wakati wa kuhojiwa. Take this siriazly.

hata mimi nafikiria hivyo, halafu kazi yenyewe kwa kweli sipo interested nayo, sio kama nachagua kazi lakini hii kwangu ni ngumu kidogo
 
nenda jukwaa la mwisho jamvini upunguze stress zako...
 
Back
Top Bottom