Uwezo wetu umeishia hapa

Na utakuta aliyeandika hapo ni mwenye degree
 
pengine kulichapa kulitengewa pesa nyingi sasa tamaa ya fungu la kumi ikamlazimisha alazimishe na matokeo ndio hayo,tupo nyuma sanaaaaa.
 
Hata hivo amejitahidi sana wewe si unajua tena ofisi zetu kuanzia January mpaka December wanaongea kiswahili sasa unategemea nini hata kama mtu amesoma linguistic lazima kitapotea tu
 
Ujumbe umefika. Sasa ole wako usafiri bila kuwa na kitabu cha chanjo ya homa ya manjano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…