Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,083
Umeongea bonge la point hata mi kabla ilikuwa hivi toka nijue hili sina shidaKatika chumba unacholala mzunguko wa hewa ni kidogo, hasa kwa usiku ambapo madilisha na milango inakuwa imefungwa, Fanyia kazi hili swala utaona mabadiliko.