Uwezo wa maji ya baraka kupambana na nguvu za giza

Katika chumba unacholala mzunguko wa hewa ni kidogo, hasa kwa usiku ambapo madilisha na milango inakuwa imefungwa, Fanyia kazi hili swala utaona mabadiliko.
Umeongea bonge la point hata mi kabla ilikuwa hivi toka nijue hili sina shida
 
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa ikiwa ndani kwako unasumbuliwa na nguvu za giza suluhisho ni kuweka Maji ya Baraka! Binafsi nimeweka chupa ya lita moja lakini bado tunaandamwa na tatizo hilo, ndoto Za watu waliokufa, kufukuzwa na majoka, kupigwa risasi, na kuweweseka kila siku kati ya saa nne na nusu na saa tano na nusu usiku! Nakosea wapi maana nina imani sana na uwezo wa haya maji, lakini bado sijawakomesha hawa wasiojulikana! Naombeni mawazo yenu wana jamvi!
Nina Imani sana na haya maji"

Shida imeanzia hapo weka imani Yako MUNGU
 
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa ikiwa ndani kwako unasumbuliwa na nguvu za giza suluhisho ni kuweka Maji ya Baraka! Binafsi nimeweka chupa ya lita moja lakini bado tunaandamwa na tatizo hilo, ndoto Za watu waliokufa, kufukuzwa na majoka, kupigwa risasi, na kuweweseka kila siku kati ya saa nne na nusu na saa tano na nusu usiku! Nakosea wapi maana nina imani sana na uwezo wa haya maji, lakini bado sijawakomesha hawa wasiojulikana! Naombeni mawazo yenu wana jamvi!
Wakati wa kulala ogea maji yaliyochanganywa na chumvi ya mabonge ratio ni kijiko kimoja kikubwa kwenye ndoo ya lita 20
 
Yani huo muda unaolala wewe ndio bia huwa inanogs, halafu unakuta sebene la Papa Mobimba liko hewani, aisee unaanzaje kulala mida hiyo?

Jaribu kupiga K-Vant uondowe ujinga na hizo elusion.

Ni kweli: Nikipiga alcohol sioni mauzauza!
 
Maji hayana chochote Bro.Labda kwa sababu siku hizi kuna joto sana hasa hapa Dar hayo yanaweza kukusaidia kwa kukatia kiu.Damu ya YESU ndiyo kiboko ya matatizo yote ,hasa hayo mauza uza.

Mbona huwa nasali kila siku kabla ya kulala,au nakosea wapi!
 
Yaani unalalaga saa nne?, Mbona mapema sana?, No wonder unapata ndoto za ajabu ajabu,
Hayo maji ni imani tu, hayana nguvu yoyote,
Pili nguvu za giza nazo ni imani tu,, usikute una tatizo la hallucinations,,,,

Hayajakukuta mkuu!
 
Achana na ujinga uo utakufa bure eti maji ya baraka si mazindiko hayo
Ila akifanya mwengine ndo kosa achana na uo ujinga fanya mfuke na maji ya bangi kwa kwa kutamka mabalaa yako yote alafu ulete majibu
Hapa

Sijakataa: Ukitumia Bhangi au Pombe hawaji: Tatizo hivyo vitu mimi siviendekezi
 
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa ikiwa ndani kwako unasumbuliwa na nguvu za giza suluhisho ni kuweka Maji ya Baraka! Binafsi nimeweka chupa ya lita moja lakini bado tunaandamwa na tatizo hilo, ndoto Za watu waliokufa, kufukuzwa na majoka, kupigwa risasi, na kuweweseka kila siku kati ya saa nne na nusu na saa tano na nusu usiku! Nakosea wapi maana nina imani sana na uwezo wa haya maji, lakini bado sijawakomesha hawa wasiojulikana! Naombeni mawazo yenu wana jamvi!
Nyunyiza maji ya baraka kwenye kona za nyumba mpaka kitandani huku ukinuwia nguvu yake utaiona usisahau kuleta mrejesho
 
Maji ya baraka yakikatoliki huwa yanabarikiwa lakini pia huchanganywa na chumvi.Ukiacha kubarikiwa tambua chumvi kiasili ni kinga ya uchawi.Chumvi na uchawi haviendani kabisa,

Kama unandugu yako ni mganga wakienyeji na anavibuyu(tunguri) ndani mvizie hayupo chukua chumvi mimina kwenye vibuyu vyake utakua umeviua.

Tuwaachie kina mshana na fani zao lakini ni ukweli usiopingika kwamba kuna vitu huwa havikai pamoja na uchawi,inasemekana hata kina mshana,tunguri za uchawi na tunguri za kutibia huwa haziwekwi pamoja,ukiziweka pamoja huwa moja itaharibu nyingine.

Nikihitimisha kwenye isue ya maji ya baraka,ili ile hali ya ubaraka utende muujiza ni lazima muhusika awe na imani ya kweli sio ya mdomoni tu wakati rohoni hana.

Chumvi?Hii ambayo wachawi wenyewe wanatia kwenye chips na wanakula hadi kuilamba tena yenye madinijoto kabisa ndio baadae waigope?Hebu kuwa serious mkuu.
 
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa ikiwa ndani kwako unasumbuliwa na nguvu za giza suluhisho ni kuweka Maji ya Baraka! Binafsi nimeweka chupa ya lita moja lakini bado tunaandamwa na tatizo hilo, ndoto Za watu waliokufa, kufukuzwa na majoka, kupigwa risasi, na kuweweseka kila siku kati ya saa nne na nusu na saa tano na nusu usiku! Nakosea wapi maana nina imani sana na uwezo wa haya maji, lakini bado sijawakomesha hawa wasiojulikana! Naombeni mawazo yenu wana jamvi!
Una imani na hayo maji na sio Mungu ahahaha utasubiri Sana,achana na hayo maji hakuna msaada wowote hapo.
 
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa ikiwa ndani kwako unasumbuliwa na nguvu za giza suluhisho ni kuweka Maji ya Baraka! Binafsi nimeweka chupa ya lita moja lakini bado tunaandamwa na tatizo hilo, ndoto Za watu waliokufa, kufukuzwa na majoka, kupigwa risasi, na kuweweseka kila siku kati ya saa nne na nusu na saa tano na nusu usiku! Nakosea wapi maana nina imani sana na uwezo wa haya maji, lakini bado sijawakomesha hawa wasiojulikana! Naombeni mawazo yenu wana jamvi!
Badala ya kuimwagia hiyo nyumba maji, wewe umeyaweka kama pambo halafu unalialia mauza uza hayaishi, yataisha vip kama unashindwa kuzingatia vigezo na masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom