Uwezo wa bluetooth

Uwezo wa bluetooth

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Ndugu wanaJF habari,na2maini mu wazma kwa baraka zake Allah.Napenda kujuzwa kuhusu hii k2 ,nimekuwa nikiona kwenye specification za cm mbalimbali bluetooth zna differ ukubwa .swali langu ni je ukubwa au udogo wa bluetooth unatokana na nini?faida zake ni zpi kwa bluetooth kubwa ama ndogo pia kazi za bluetooth ni zipi ukiondoa kurusha picha na nymbo ?Na2maini mtanisaidia
 
zaidi ya kurusha pic na nyimbo,unaweza connect na wireless device i.e headphones ukasikiliza music na kuongelea pia unaweza ifanya kama wireless controller ukacontrol other divices i.e music player ya laptop,kuhusu difference ya ukubwa,wengine watanisaidia hilo
 
Ndugu wanaJF habari,na2maini mu wazma kwa baraka zake Allah.Napenda kujuzwa kuhusu hii k2 ,nimekuwa nikiona kwenye specification za cm mbalimbali bluetooth zna differ ukubwa .swali langu ni je ukubwa au udogo wa bluetooth unatokana na nini?faida zake ni zpi kwa bluetooth kubwa ama ndogo pia kazi za bluetooth ni zipi ukiondoa kurusha picha na nymbo ?Na2maini mtanisaidia

Kama alivyo sema i2thedi ni sahihi kabisa cha kuongezea ni kwamba unapoona Version inaongezeka na ndivyo ubora, features na speed vinaongezeka, mfano utumaji wa file kati ya device yenye Bluetooth 2.1 to 4 au 4 to 2.1 na utumaji wa files from Bluetooth 4 to 4 nitofauti sana from v4 to V4 files zitakwenda kwa speed sana, pia quality(stereo) ya saut unapo connect na stereo Bluetooth device ukiwa na v4 inakua kubwa
 
Last edited by a moderator:
kwa kuongezea tena ntaelezea faida unazozipata kwenye bluetooth 4 ambazo kwenye bluetooth za nyuma usingepata.

1. utumiaji mdogo wa betry. kila mtu anajua akiacha bluetooth on kitu gani kinatokea betry inaisha fasta ila ukiwa na b4 unaacha 24hrs betry haiend sana

2. utumiaji mdogo ina maana kuongezeka kwa accessory. kuna vitu vilitakiwa vitengenezwe vya bluetooth ila havikuwezekana sababu blutooth inahitaji power kubwa.

mfano mzuri ni accessory mpya ya nokia inaitwa treasure tag hii ni kama holder ya funguo yenye bluetooth. incase umesahau ulipoweka simu inakuonesha. holder hii unachaji mara moja inakaa na chaji miezi 6.

hapa ingekua ni bluetooth za kpnd cha nyuma hata wiki isingekatiza

faida nyengine inaweza kuwa integrated na nfc pamoja na vitu kama ramani
 
okay umeniongeza kitu,nilikua najiuliza kwanini nikiconnect e52 na bluetooth headset phone nikiiweka mfukoni basi connection inakatakata while nikiiconnect na bb9300 sioni hilo tatizo,thanx kwa ufumbuz ndg
 
Last edited by a moderator:
kwa kuongezea tena ntaelezea faida unazozipata kwenye bluetooth 4 ambazo kwenye bluetooth za nyuma usingepata.

1. utumiaji mdogo wa betry. kila mtu anajua akiacha bluetooth on kitu gani kinatokea betry inaisha fasta ila ukiwa na b4 unaacha 24hrs betry haiend sana

2. utumiaji mdogo ina maana kuongezeka kwa accessory. kuna vitu vilitakiwa vitengenezwe vya bluetooth ila havikuwezekana sababu blutooth inahitaji power kubwa.

mfano mzuri ni accessory mpya ya nokia inaitwa treasure tag hii ni kama holder ya funguo yenye bluetooth. incase umesahau ulipoweka simu inakuonesha. holder hii unachaji mara moja inakaa na chaji miezi 6.

hapa ingekua ni bluetooth za kpnd cha nyuma hata wiki isingekatiza

faida nyengine inaweza kuwa integrated na nfc pamoja na vitu kama ramani

nakukubali sana CHIEF MKWAWA,thanks na mimi napata tambua mengi hapa kwenye uzi wa mwana jf mwenzetu
 
Last edited by a moderator:
may also be used for multiplayer games on two BT enabled devices
 
Back
Top Bottom