MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Duh mkuu punguza hasira kidogo,inaonekana kama angekuwa ni mshkaji wa kitaa ungemsulubisha aicee.
Ameitia aibu taasisi ya Urais, amechafua jina Rais, amelifilisi taifa. Hakika kama yangekuwa ni mamlaka yangu ningemfuta duniani by firing squad, tufute kabisa kizazi kichafu!