Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Wana jamvi, naomba mniambie kuhusu uwezekano wa JK kurudi Ikulu mwaka 2020! Hili sio jambo geni. Hata Mkapa alipoachia madaraka, kulikuwa na mijadala ya kuhusu kurudi kwake tena Ikulu.
Ukiangalia kwanza JK bado ana nguvu za kimwili pamoja na umri wake mwingi, pili ni kiiongozi ambaye alikuwa na uwezo mkubwa wa ku multi task.
Yani sio rahisi kujua kuwa ameshikilia bango ishu ipi. Kote kote alikuwepo na hata wataalam wa masuala ya kiuchumi wanaweza kupima mafaniko ya JK katika nyanja mbali mbali (parameters).
Kwenye sekta ya kibenki. Enzi za JK idadi ya benki ziliongezeka kutoka kwenye benki kumi hivi mpaka kufikia benki hamsini hivyo kuongeza mzunguko wa fedha na ukopeshaji.
Sekta ya ujenzi: Sekta ya ujenzi nayo imekuwa kwa kasi. Kipindi JK anaingia ilikuwa kuna ghorofa moja maarufu la PPF tower ambalo kila mtu alikuwa anaenda kupigia picha pale. Leo hii kuna maghorofa kama nyuki.
Sekta ya elimu: Vyuo vikuu viliongezeka toka vyuo vichache vya SUA, Mzumbe na UD, na mpaka sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu ishirini.
Ni kweli kuna mapungufu kwa kukua kwa baadhi ya sekta kama ya afya, na kutokupanuka kwa ajira kwa kiwango cha kuweza ku absorb wasomi wote, lakini nikitumia parameter (indicators) za maendeleo nadhani huenda JK was the best president this country has ever had...